Wachezaj walioachwa
*AFC Bournemouth*
Buckley Callum Ralph
McCarthy Jake
Neale Matthew Alexander
*Arsenal*
Da Graca Kristopher Santos
O'Connor Stefan Ramone Sewell
Sanogo Yaya
*Burnley*...
London, England. Mshambuliji wa Chelsea, Diego Costa amesema ametumiwa ujumbe mfupi wa simu kutoka kwa kocha Antonio Conte akitakiwa kutafuta maisha sehemu nyingine.
Ndoto za Costa kubaki kwenye...
Mchezaji wa Real Madrid Christiano ronaldo amechukua makombe manne ya champions league katika maisha yake ya soka ni kitu kikubwa sana kuna baadhi ya wachezaji mahili kama Ronaldo nazalio delima...
Mshambuliaji Wazir Junior aliyejiunga na Azam akitokea Toto Africans, amefunguka mchezo mzima wa usajili wake ulivyokuwa baada ya awali kuonekana katika ofisi za Klabu ya Yanga akiwa na baadhi ya...
Kwa ufupi
Kiwango cha juu alichokionyesha Mbaraka kimewavutia Simba, Yanga na Singida United kila moja ilionyesha nia ya kutaka kumsajili.
By Mwandishi Wetu
Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi, Azam...
Watu wanashangaa Manchester United kuwa mentioned na Forbes magazine kama team tajiri duniani. Kwa mtu anayefuatilia mpira hawezi kushangaa kwani Manchester United ni taasisi kubwa na ni brand...
Game ya Yanga vs Afc Leopards ya Kenya..
Bado matokeo ni 0-0
Kipindi cha pili
YANGA 0-0 AFC LEOPARDS ‘LIVE’ MAPUMZIKO, SPORTPESA SUPER CUP, UWANJA WA UHURU
Mhariri mwenye akili timamu kabisa hawezi kukubali maandishi kama haya ambayo nayanukuu " Simba SC yafa chali Kifo cha Mende ndembe ndembe ". Matusi haya ya reja reja hayavumiliki na mtasababisha...
Mpangilio uko hivi wa FIFA
1.Argentina
2.Belgium
3.Colombia
4 Germany
5. Chile
6 Portugal
7.France
8.Spain
9.Brazil
10 Italy
11 Wales
Kwa upande wa Afrika Mashariki yaani Tanzania...
Hivi kuna umuhimu gani wa Mbwana Samata kuparticipate kwenye team ya taifa ili aisaidie kufuzu CHAN wakati Hachezi... Hatuoni kwamba itaawafanya wabweteke
Habar wadau,
Mimi ni mmoja Kati ya wasomaji WA magazeti waliobakia na hata nisiposoma bas angalau vichwa vya Habari vya siku havinipiti.
Nimegundua Kuna gazeti au magazeti fulani ambayo kama si...
Baada ya kupata taarifa za kifo cha mchezaji raia wa Ivory Coast, Cheick Ismael Tiote, kuna wazo lilinijia. Nikaamua kufuatilia zaidi ndipo nilipothibitisha kuwa ni kweli kwa takriban miaka 20...
Mashabiki wawili wa timu ta taifa ya uingereza "three lions" wamelimwa life ban baada ya kuonyesha ishara ya salute iliyokuwa ikitumiwa na Manazi kwa kijerumani wakati wa Hitler. Tukio hilo...
Kuna habari kuwa anaejiita mfadhili wa Yanga Yusuf Manji ambae pia ni mkurugenzi mtendaji wa Quality Group maji yamemfika shingoni na sasa anautema "ufadhili" wa klabu hiyo kongwa yenye historia...
Katika kundi la nne,
Timu ya taifa ya Tanzania inaongoza katika kundi hilo!
Baada ya leo kutoa droo ya bila kwa bila na Msumbiji.
Kwa hiyo tuna point 4 kibindoni!
Hongera timu ya...
HATIMAYE Barcelona wamemaliza kazi ya kumsaka atakayechukua nafasi ya kocha wao, Luis Enrique ambaye ameondoka kwenye benchi la ufundi la timu hiyo.
Enrique ameiacha nafasi hiyo mwishoni mwa wiki...
Wakuu Wasalaamu.....!!!
Leo nimeona mchezaji Kutokea Toto African akisign mkataba wa kujiunga na AZAM FC kwa mkataba wa miaka 2...Anaitwa WAZIRI JUNIOR lakini chakushangaza ni jinsi alivyokuwa...
Kuelekea UEFA champions league final
NOTE:
Mwaka 1998..Mjini Amsterdam,nchini Uholanzi ilipigwa Finali ya kibabe ya UEFA ya JUVENTUS v REAL MADRID.Mechi ilikuwa ngumu na yenye upinzan,lakin...
Ni jumamosi tena ya keshokutwa dunia itasimama ikishuhudia Mtanange wa kukata na shoka dhidi ya Timu yenye Ukuta wa chuma(Juventus aka kibibi kizee cha Turin) na Timu yenye Viungo Mafundi(Real...
Gareth Southgate met his England squad at St George’s Park on Friday where they were told that they would immediately be relocating to the Royal Marines’ Commando Training Centre in Exmouth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.