Ni Fainali dhidi ya Timu yenye Ukuta wa Chuma na Timu Yenye Viungo Mafundi.

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,678
Ni jumamosi tena ya keshokutwa dunia itasimama ikishuhudia Mtanange wa kukata na shoka dhidi ya Timu yenye Ukuta wa chuma(Juventus aka kibibi kizee cha Turin) na Timu yenye Viungo Mafundi(Real Madrid).

Juventus Wataishangaza Dunia,Ni pale Cardif(Wales) Nyumbani haswa kwa Bale.

Jumamosi Sio mbali.
 
Yap...Niko kwa Waitaliano.....ushindi saa mbili asubuhi.....mapemaaaa ...Buffon ananyanyua ndoo
Madrid atalala mapema sana Jumamosi,Juventus hata kubali kurudia makosa tena ya nyuma.

Tukimshika modric basi tunakata Umeme kabisa Khedira atapewa jukumu la kutembea na huyu mtu
 
Premier Bet wameweka hivi:
Madrid ashinde ndani ya 90 mins and both team to score. Odds 6.0

Juventus ashinde ndani ya 90 mins and both teams to score. Odds 7.0

Nataka niweke mzigo wa 50,000 hapo, sasa sijui niweke kwenye offer hiyo ya kwanza au ya pili. Msaada mazee.
 
Madrid atalala mapema sana Jumamosi,Juventus hata kubali kurudia makosa tena ya nyuma.

Tukimshika modric basi tunakata Umeme kabisa Khedira atapewa jukumu la kutembea na huyu mtu
Walimwacha Modric atembee...
 
Nakumbusha tuu
Screenshot_2017-06-07-13-34-50.png
 
Back
Top Bottom