Yanga vs Afc Leopards Supercup nusu fainali

thechosenone

Member
Jan 10, 2016
17
45
Game ya Yanga vs Afc Leopards ya Kenya..
Bado matokeo ni 0-0
Kipindi cha pili
YANGA 0-0 AFC LEOPARDS ‘LIVE’ MAPUMZIKO, SPORTPESA SUPER CUP, UWANJA WA UHURU
 

Mbojo

JF-Expert Member
May 31, 2011
1,408
2,000
Ni wakati sasa wa TFF kuwa na imani na timu za mikoani. Wanachofanya Yanga hakina tofauti na wenzao simba. Tunadhalilishwa sana na timu za kenya.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom