List mpya ya viwango vya FIFA iliyotoka leo 14/07/2016

Mkwere Sumbawanga

JF-Expert Member
Sep 28, 2015
744
660
Mpangilio uko hivi wa FIFA

1.Argentina

2.Belgium

3.Colombia

4 Germany

5. Chile

6 Portugal

7.France

8.Spain

9.Brazil

10 Italy

11 Wales



Kwa upande wa Afrika Mashariki yaani Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda, nchi ya Uganda imeonekana kuongoza kwa kuwa nafasi ya 69 ikifuatiwa na Kenya 86, Rwanda 111 na Tanzania ikiwa nafasi ya 123. Hii ni list mpya ambayo imetoka leo July 14 2016,
 
Sasa hapo kidogo Wales kaonesha msisimko huyo Belgium kala kwa Wales na Chile kachukua ubingwa America kule inakiwaje hapo!!!
 
Kwa maneno ya Jerry muro cdhan kama tutatoka kwenye hizo digital 3
Maskin Tanzania tunahitaji mkesha Wa maombi kwa mwez mzima huku tukifunga
 
timu ya taifa na ubora wa ligi ni vitu viwili tofauti kabisa, ubeligiji wana timu bora ya taifa ila ligi yao ndo kwanzaa inakua mdagomdogo, pia ligi ya epl wanaofanya vzuri ni wachezaji wa nje ya hiyo nchi ndo maana dirisha la usajili likifunguliwa club watumia mno pesa, hata wafungaji bora wa hiyo ligi bila shaka unaelewa mara kwa mara wanaochukua. so timu ya taifa na ligi ni vitu viwili tofauti
 
Sijakubali kabisa England kuwa hapo, hawafiki hata kwenye top 50 hawa, kwa mpira gani wao? Kwa mashindano gani yakuwaweka hapo? hiyo list mpaka mwisho England wako nafasi ya 13 hapo Ndio nashangaa
 
Argentina anastahiki kuendelea No 1.

chama cha soka AFA ndio kina Matatizo hadi inapelekea timu bora kama hiyo iliyobeba wachezaji bora kushindwa kutwaa ubingwa, na kupelekea kustaafu! Chama hicho inabidi kijipange upya.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Sijakubali kabisa England kuwa hapo, hawafiki hata kwenye top 50 hawa, kwa mpira gani wao? Kwa mashindano gani yakuwaweka hapo? hiyo list mpaka mwisho England wako nafasi ya 13 hapo Ndio nashangaa
hata mm sijaridhika kuwekwa hapo, walitakiwa kuwa hata nafasi ya 25
 
Back
Top Bottom