Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,410
- 14,971
Mashabiki wawili wa timu ta taifa ya uingereza "three lions" wamelimwa life ban baada ya kuonyesha ishara ya salute iliyokuwa ikitumiwa na Manazi kwa kijerumani wakati wa Hitler. Tukio hilo lilitokea mjini dortmond mwezi mei wakati timu za mataifa ya ujerumani na uingereza zilipokutana kwenye mezhi ya kirafiki kwenye uwanja wa Iduna park mjini dortmond.
Mmoja alienda mbali kwa kuvaa mousetouch uliofanana na ule wa Hetler. Miaka kadhaa nyuma kuna baadhi ya qachezaji waliwahi kupewa adhabu kwa kuonyesha salute ya kinazi. Nicolas Anelka,Paulo Di canio wate hawa waliwahi kupewa adhabu kwa kuonyesha Nazi salute.
Hii Nazi salute kwa nini ipigwe marufuku!?