Manchester United yakwea kileleni kwa vilabu tajiri duniani

donald mickhitarian

Senior Member
Apr 22, 2017
120
47
Watu wanashangaa Manchester United kuwa mentioned na Forbes magazine kama team tajiri duniani. Kwa mtu anayefuatilia mpira hawezi kushangaa kwani Manchester United ni taasisi kubwa na ni brand kubwa kuliko timu nyingi za England na ina watu makini sana wenye ueledi.

Kwa mfano kwa misimu tofauti imeongeza mauzo ya jezi kulinganisha na vilabu vingine.

Bila shaka hakuna asiyejua wanaongoza kuwa na mashabiki wengi.

statue outside Manchester United's stadium_7012327_ver1.0_640_360.jpg

Forbes 'The Business Of Soccer' World's Most Valuable Teams '15-'16

1 - Manchester United £2.86bn

2 - Barcelona £2.82bn

3 - Real Madrid £2.77bn

4 - Bayern Munich £2.1bn

5 - Manchester City £1.61bn

6 - Arsenal £1.5bn

7 - Chelsea £1.43bn

8 - Liverpool £1.15bn

9 - Juventus £976m

10 - Tottenham Hotspur £821m

11 - Paris Saint-Germain £652m

12 - Borussia Dortmund £626m

13 - AC Milan £621m

14 - Atletico Madrid £567m

15 - West Ham United £491m

16 - Schalke £487m

17 - Roma £441m

18 - Inter Milan £416m

19 - Leicester City £320m

20 - Napoli £294m
 
Kinachowaumiza kichwa, pamoja na man united kuwa na deni kubwa, bado ni timu tajiri kuliko zilizokuwa hazina madeni. Klabu ya manchester united ina uwezo wa kujitegemea tofauti na wapiga kelele man city ambayo mmiliko alitoa mafedha mengi mfukoni mwake kuipa uhai, man united tunaspend from what we gain.
 
Twaweza walitoa takwami kwamba mashabik wengi wa red devils ni vilaza na wanaongeaga point za kitoto
 
Kinachowaumiza kichwa, pamoja na man united kuwa na deni kubwa, bado ni timu tajiri kuliko zilizokuwa hazina madeni. Klabu ya manchester united ina uwezo wa kujitegemea tofauti na wapiga kelele man city ambayo mmiliko alitoa mafedha mengi mfukoni mwake kuipa uhai, man united tunaspend from what we gain.
Kabisa kaka man u inaingiza fedha nyingi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom