Ronaldo vs Barcerona

donald mickhitarian

Senior Member
Apr 22, 2017
120
47
Mchezaji wa Real Madrid Christiano ronaldo amechukua makombe manne ya champions league katika maisha yake ya soka ni kitu kikubwa sana kuna baadhi ya wachezaji mahili kama Ronaldo nazalio delima hawakuwahii kuchukua barcelona imechukua mara tatu tu toka ianzishwe
 
Mkuu labda unaizungumzia Barcelona ya Kibaigwa.
 
Watu wengine bwana sasa utalinganishaje mchezaji na timu? alafu ata data hauna.

Ronaldo bado anazidiwa na Iniesta na Messi kwa idadi ya vikombe vya kuchukua na timu.

Ronaldo anazidiwa na Messi kwa vikombe kwa personal award sasa utailinganishaje na Club Barcelona?
 
Mashabiki wa Man United wanakelele sana. Tatizo wanatazama Uefa tu tena Madrid na Man U. Hawana detail za michezo mingine. Unamsifia Ronaldo hata data hauna. Wanakuaga wabishi hawa ukikutana nao mtaani
 
Mchezaji wa Real Madrid Christiano ronaldo amechukua makombe manne ya champions league katika maisha yake ya soka ni kitu kikubwa sana kuna baadhi ya wachezaji mahili kama Ronaldo nazalio delima hawakuwahii kuchukua barcelona imechukua mara tatu tu toka ianzishwe[/QUOTE

Kwa taarifa yako Ronaldo de lima amechukua kombe la dunia(kombe lenye hadhi kuliko makombe yote dunia hii) wakati Christiano ameshiriki mara tatu lakini hata fainali hajawai kanyaga.
 
Watu wengine bwana sasa utalinganishaje mchezaji na timu? alafu ata data hauna.

Ronaldo bado anazidiwa na Iniesta na Messi kwa idadi ya vikombe vya kuchukua na timu.

Ronaldo anazidiwa na Messi kwa vikombe kwa personal award sasa utailinganishaje na Club Barcelona?
Mahaba hayajawahi muacha mtu salama, sijui mafanikio gani Iniesta anamzidi Ronaldo? Ronaldo mchezaji bora mara 4 na anaenda kuchukua ya 5,Iniesta mwaka gani kawa bora,
Makombe yapi ambayo Messi anayo Ron hana? Wakati Man U wanabeba ndooo unajua kuwa Ron alikuwepo? Acheni mahaba na Rungwe wenu.. Kubalini mwaka huu kafulia.
 
Je ronaldo anastahili kuwa mchezaji bora? Kwa kutumia kigezo kipi?
 
Mchezaji wa Real Madrid Christiano ronaldo amechukua makombe manne ya champions league katika maisha yake ya soka ni kitu kikubwa sana kuna baadhi ya wachezaji mahili kama Ronaldo nazalio delima hawakuwahii kuchukua barcelona imechukua mara tatu tu toka ianzishwe

Una uhakika imechukua 3times????

Mfalume kishabeba 4,,,,na ndiyo mbabe mpaka sasa.Barcelona imenufaika baada ya mfalme kuingia pale. Vinginevyo wacngeambulia chochote without the king messi.

Cr7=boxer wa kumalizia
Mfalume= hafananishwi na player yoyote wa kabla na wa sasa.
 
Back
Top Bottom