Jana nilishuhudia mchezo baina ya Taifa Stars dhidi ya Lesotho kupitia luninga ya TBC kusema ukweli kiwango cha Tanzania Stars kilikuwa cha chini sana kulinganisha na timu pinzani. Jana hata timu...
Bosi wa benchi la ufundi la Simba, Mcameroon, Joseph Omog amevutiwa na kiwango cha mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Hafidhi Musa ambaye amejiunga nayo hivi karibuni akitokea Motema Pembe ya DR...
Wamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ?
Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu.
Hii nchi haijajipanga kisoka ...
Kwa kiwango kilicho onyeshwa jana na wachezaji wetu kina sikitisa sana yani wachezaji mumetumia kodi zetu kwenda kuweka kambi masir. Ya wiki njima mm kama mupenda soka nikafika uwanjani ili nione...
Leo ni siku ambayo nimemwona Samatta akiwa ametoka uwanjani kwa hasira kubwa baada ya mechi kati ya Taifa Stars na Lesotho. Pamoja na yeye kucheza vizuri na kujitoa kwa 100%, anahisi juhidi zake...
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza wabunifu na wandaaji wa ndondo cup,hususani Ndugu Shafii Dauda.
Mambo mnayoyafanya ni ukomavu mkubwa katika soka. Mnajitahidi sana kushirikisha wadau na...
Habarii za wakati huu!!!!!
Leo Ndo ile siku ambapo vinaja wetu na timu yetu YA soka YA Tanzania (Taifa Stars) itakaposhuka dimbani CHAMAZI COMPLEX STADIUM kupepetana na Timu YA taifa ya...
Wana simba njooni hapa mnitoe dukuduku swala la FIFA vipi mbona kmya hakuna kiongozi wala afisa yoyote anaye ongelea hili swala tena! au kmya nalo ni jibu?
wakuu
hapo jana timu ya taifa, Taifa stars ilikwea pipa na kuelekea nchini Misri kwaajili ya maandalizi dhidi ya Letheto
mechi itakayochezwa Jijin Dar es salaam kuwania kufuzu AFCON 2019...
Leo kuna mitanange mitamu sana
1.Croatia vs England
2.Botswana vs Mauritania
3.Norway vs cezch Republic
4.Azerbaijan vs Northern Ireland
Karibu tuchambue michezo hiyo nani ataibuka mshindi.........
Harusi ya mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi sasa ni uhakika itakuwa Juni 30 na itafanyika kwao Rosario, Argentina yeye akifunga ndoa na mzazi mwenzake na mpenzi wake tokea wakiwa...
Wakuu, nimegundua kumbe upeo wetu ni mdogo mno. Pana fainali za FIFA U20 huko Korea Kusini, sawa na fainali za timu kubwa za mataifa, lakini hakuna hapa nchini anaefuatilia hasa media zetu...
Habari wakuu!
Kupitia kichwa cha habari mimi nakaa Mikocheni Regent kwa anayeweza kunielekeza namna yA kufika Chamazi Complex kuangalia mechi Kesho naomba anielekeze.
Yaani usafiri na kama kuna...
Habari Kamarada,
Hivi hawa TFF wanatumia vigezo gani kuzuia AZAM FC kutotumia uwanja wake wa nyumbani pindi inapocheza mechi za ligi na SIMBA/YANGA, na kuruhusu TIMU YA TAIFA kutumia uwanja huo...
SPORTPESA SUPER CUP: Yanga SC acheni dharau.!
Sijui niseme nini. Ila iko namna hii. Kwanini mmeshindwa kuyapa heshima mashindano ya SportPesa super cup?
Mmeona wenzenu walivyokuwa wanajua...
Habarini wapendwa!
Leo tunakamilisha msimu wa La Liga 2016/17. Tufanye Madrid bingwa wa La Liga na UEFA Champions League. FC. Barça bingwa wa Copa Del Rey.
SWALI: Ni nani kati ya Messi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.