ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,662
Wakuu Wasalaamu.....!!!
Leo nimeona mchezaji Kutokea Toto African akisign mkataba wa kujiunga na AZAM FC kwa mkataba wa miaka 2...Anaitwa WAZIRI JUNIOR lakini chakushangaza ni jinsi alivyokuwa akisign mkataba wake huku akiwa amezungukwa na Watu
Amesign kwa kutumia Dole gumba...Na hii sahii hutumiwa na wale watu wasio Jua kusoma na kuandika ndio huchovya kidole gumba kwenye wino na kuweka sehemu ya sahihi!
Sasa swali ninalo jiuliza ni Je huyu mchezaji kama hajui kusoma na Kuandika Je mkataba wake atakuwa ameuelewa kweli au ndio wale huja kusumbua watu kwa mikataba?