Hongereni TBC ..

Inamonga

JF-Expert Member
Jun 25, 2016
779
474
Napenda kuwapongeza tbc1 kwa kuonyesha game ya stsrz na Lethoto Live.. naona mmeanza kujitambua sasa kuwa nn mnatakiwa kufanya..
 
HATA MM NAWAPONGEZA SANA SASA NAONA HESHIMA YA TV YA TAIFA INAANZA KURUDI BG UP SANA UO UWE MWANZO MZURI WA KUTULETEA BURUDANI YA TIMU ZETU ZA TAIFA.
 
nimeshangaa ITV wameshindwa kutangaza habari ya staz kucheza na Lesotho Leo kwenye habari zao. vyombo vyetu vya habari bado sana
 
TBC walipashwa waoneshe mada za kilimo viwanda vidogo vidogo na ziara za mawaziri na Ma-RC katika uzinduzi wa miradi ya maendeleo.Sio michezo.Watu wafanye kazi tu.
 
Hapo hongera wapewe Azam Tv, kupitia ZBC2 ambayo hao TBC wamejiunga kupitia wao
 
Back
Top Bottom