Cheki Real Madrid walivyopokelewa kifalme baada ya kutwaa kombe la UCL

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,253
1.jpg

Meya wa Jiji lla Madrid, Manuela Carmena baaada ya kukabidhiwa jezi ya Real Madrid na Nahodha wa Real Madrid. Sergio Ramos.

2.jpg
3.jpg
4.jpg
5.jpg
6.jpg
7.jpg
8.jpg
 
Litakuwa kosa la jinai kwa wapinzani wetu kumruhusu Mou & Man U yake afike fainali msimu ujao..!

Atawafundisha Juventus namna ya kushinda fainali ... Cheza vibaya ila beba ndoo. Unamfurahisha nani wakati unapigwa?!

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG] 2017/2018#
GGMU for good!! 2017/2018 wakae mkao wa kuliwa...Its a shame kumruhusu Madrid wavunje record kizembe namna hiyo. Hongereni Madrid kwa kunyanyua vikwapa miaka 2 mfululizo.
 
Litakuwa kosa la jinai kwa wapinzani wetu kumruhusu Mou & Man U yake afike fainali msimu ujao..!

Atawafundisha Juventus namna ya kushinda fainali ... Cheza vibaya ila beba ndoo. Unamfurahisha nani wakati unapigwa?!

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG] 2017/2018#

Usiongee sana, huyo Mou na Man United wanakutana na Zidane na Real Madrid tarehe 7 mwezi 8, au huna taarifa za UEFA Super Cup? Hakuna kusubiri msimu ujao kama wanataka kumfundisha Juventus jinsi ya kumfunga Real tarehe zimeshafika, acha maneno weka kandanda
 
Kwan Kuna shida gan wakipokelewa , ni vyema watu wakajadili hoja za msingi na cyo udaku kama huu
 
Usiongee sana, huyo Mou na Man United wanakutana na Zidane na Real Madrid tarehe 7 mwezi 8, au huna taarifa za UEFA Super Cup? Hakuna kusubiri msimu ujao kama wanataka kumfundisha Juventus jinsi ya kumfunga Real tarehe zimeshafika, acha maneno weka kandanda
Poa poa..!
 
Hapo itajulikana mbivu na mbichi tutaona mwisho wa tambo zao
 
Ni kweli kabisa mkuu.. Timu hushinda makombe.. Si umeona kombe la uefa wameshinda Real Madrid
hahaha jibu lako lipo katika ulimwengu wa STAKI KUJUA
Usiongee sana, huyo Mou na Man United wanakutana na Zidane na Real Madrid tarehe 7 mwezi 8, au huna taarifa za UEFA Super Cup? Hakuna kusubiri msimu ujao kama wanataka kumfundisha Juventus jinsi ya kumfunga Real tarehe zimeshafika, acha maneno weka kandanda
 
UEFA hakufai jamani yani Juve kabla ya fainali alikua karuhusu gori 3 tu. Maajabu final kapigwa 4

Acheni wenger aende Europa
Walikua hawajawahi kukutuna na wataalam wa kusakata kandanda
Walipo kutana nao tena fainali ndo maana dhahma hiyo ikawatokea
 
Kama Real Madrid

Back
Top Bottom