Zlatan 'Out' Man United

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,178
6,237
Mi naona aende tu, anazuia ukuaaji wa vipaji vya madogo
 

Attachments

  • IMG-20170609-WA0015.jpg
    IMG-20170609-WA0015.jpg
    50.6 KB · Views: 50
Good! Japokuwa kafunga goli 28 bado alipoteza nafasi za wazi zaidi ya 30 na kutufanya tucheze katika wakati mgumu.

Atabakia CARRINGTON kuendelea na matibabu. Huenda akaingizwa Jan 2018 kama tulivyofanya kwa HENRICK LARSON miaka ile kuongeza nguvu. Tusubiri..!

Tunamshukuru kwa yote na kumtakia kila lenye kheri.

Najua ataingia striker mpya mwenye uzoefu zaidi ya hawa madogo waliopo.

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG] 2017/2018#
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom