kyandophirbet
Member
- Jun 7, 2017
- 19
- 3
Kwa kiwango kilicho onyeshwa jana na wachezaji wetu kina sikitisa sana yani wachezaji mumetumia kodi zetu kwenda kuweka kambi masir. Ya wiki njima mm kama mupenda soka nikafika uwanjani ili nione mambo ya masili ila kwakile nilicho kiona nazani kila mupenda soka aliona ina uma sana