kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 858
Habarii za wakati huu!!!!!
Leo Ndo ile siku ambapo vinaja wetu na timu yetu YA soka YA Tanzania (Taifa Stars) itakaposhuka dimbani CHAMAZI COMPLEX STADIUM kupepetana na Timu YA taifa ya Lesotho..... Tunahamini mmejianda vizuri kwa mechi Hiyoo kutokana na maandalizi YA week chache mliofanya tunaomba msituangushe na Sisi tupo nyumaa yenu kuwapa support kubwa.......
Mechi Hiyoo itapigwa majira YA saa 2:00 Usiku.... Mashabiki tunaomba tujitokezee kuishangilia timu yetu
TAIFA STARS AFCON 2019 INAWEZEKANA.......