Ndondo cup kuifunika VPL

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
1,739
2,000
Kwanza kabisa napenda kuwapongeza wabunifu na wandaaji wa ndondo cup,hususani Ndugu Shafii Dauda.
Mambo mnayoyafanya ni ukomavu mkubwa katika soka. Mnajitahidi sana kushirikisha wadau na kuendesha karibu kila jambo kwa uwazi mkubwa.
Mfano ni upangaji huu wa makundi. Heko kwenu.
Najaribu kuitazama hii ligi mkiweza kuendesha kila mkoa na mwisho siku wale mabingwa wa mkoa wakaingia kwenye mtifuano. Sio mbaya kama mkianza kwenye majiji tu.
Kwa msimu huu natarajia kutakuwa na hamasa kubwa sana.
Wadhamini hiyo ni fursa kubwa ya kuitumia,wekeni hela huko,msaidie kukuza soka letu.
VPL ikae chonjo sana.
 

Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
7,756
2,000
Uko sahihi..unajua Kwenye ndondo kuna waratibu makini..wana nia kweli ya kuona soka letu likisonga mbele..tofauti na VPL wao ni wapigaji tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom