Point zetu vipi?

bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
9,454
20,807
Wana simba njooni hapa mnitoe dukuduku swala la FIFA vipi mbona kmya hakuna kiongozi wala afisa yoyote anaye ongelea hili swala tena! au kmya nalo ni jibu?
 
4e8e6f89d456c9ba39260b31ddc6c782.jpg
 
Mpira wa miguu pointi zake hupatikana viwanjani,
Pooltable point zake hupatikana mezani!
 
Alf Haji manara alitujaza ujinga tukajua mpambanaji kumbe mmbwa koko tu anabweka mkia kakunja
 
Kuna jb toka FIFA lililoletwa likionesha +ve au - ve? Kama kweli rufaa ilikatwa basi jb litaletwa. Vinginevyo iwe kwamba hawakupeleka rufaa
 
Kuna jb toka FIFA lililoletwa likionesha +ve au - ve? Kama kweli rufaa ilikatwa basi jb litaletwa. Vinginevyo iwe kwamba hawakupeleka rufaa
mkuu kwa swala kma hili lingekua lisha tolewa taarifa basi hata viongozi watupe dodoso nn kina endelea hiki kimya kina leta maswali bila majibu
 
Wana Simba wachache sana wana kumbukumbu kama wewe ila wengi ambao ni vilaza wamesahau na wamethibitisha kua wao ni mbumbumbu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom