Ronaldo vs Messi: Msimu wa 2016/2017

jac salum

Senior Member
Mar 23, 2017
183
129
Habarini wapendwa!
Leo tunakamilisha msimu wa La Liga 2016/17. Tufanye Madrid bingwa wa La Liga na UEFA Champions League. FC. Barça bingwa wa Copa Del Rey.
SWALI: Ni nani kati ya Messi na Ronaldo amekuwa bora zaidi katika huu msimu na Nani kati yao anastaili Balloon D'Or?
Weka mapenzi pembeni, zungumza ukwelli. Karibuni
c15a6c3826fdfa518c409bc770f5fdd2.jpg
 
Mesi amefunga magoli mengi lkn hayana impact kubwa kwa timu yake, Ronaldo amefunga magoli machache na Hasa ktk mechi muhimu sana, na kupelekea Madrid kufikia malengo ya jumla ktk msimu!
Kwangu Ronaldo amekuwa bora
kwahiyo ronaldo amekuwa bora msimu huu kuliko messi?
 
Katika Msimu huu Mesi ni sawa na Mwanafunzi ambaye alikuwa anafauli vizuri katika Mitihani ya Ndani ya shule na alikuwa anaongoza sana ila Mtihani wa Taifa Ronald kafauli ingawa alikuwa wa Kawaida katika mitihani ya Ndani...
 
Bro umeua ...fact ..no addition
 
Katika Msimu huu Mesi ni sawa na Mwanafunzi ambaye alikuwa anafauli vizuri katika Mitihani ya Ndani ya shule na alikuwa anaongoza sana ila Mtihani wa Taifa Ronald kafauli ingawa alikuwa wa Kawaida katika mitihani ya Ndani...
Naomba unijuze pale Bayern alipochukua UEFA,Bundasiliga. Mchezaji gani alienda alibeba Baloon D'Or? Mimi naungana na Morinho ku-criticize hii tuzo kwa miaka ya hivi karibuni imepoteza mvuto kabisa tena akibeba tena CR7 itakua haina maana kabisa. Hii tuzo ilikua haitazami vikombe tu.....ilikua inatazama na indivual performance ya mchezaji . Performance ya CR7 kwa sasa si nzuri kabisa ni kutokana na umri wake. Napenda Messi na CR7 wasipewe hii tuzo kabisa kinyume na hapo ni kuwakatisha moyo wachezaji wengine kuwa ni ngumu kupata hii tuzo hata ukijituma.
 
Mfalme na mviziaji wapi na wapi.

Messi anahangaika kisha anascore

Ronaldo anasubiri kupewa amalize na mapenalt ya kumwaga........hiyo ndiyo kazi yake
 
Naomba unijuze pale Bayern alipochukua UEFA,Bundasiliga. Mchezaji gani alienda alibeba Baloon D'Or? Mimi naungana na Morinho ku-criticize hii tuzo kwa miaka ya hivi karibuni imepoteza mvuto kabisa tena akibeba tena CR7 itakua haina maana kabisa. Hii tuzo ilikua haitazami vikombe tu.....ilikua inatazama na indivual performance ya mchezaji . Performance ya CR7 kwa sasa si nzuri kabisa ni kutokana na umri wake. Napenda Messi na CR7 wasipewe hii tuzo kabisa kinyume na hapo ni kuwakatisha moyo wachezaji wengine kuwa ni ngumu kupata hii tuzo hata ukijituma.
hebu suggest sasa nani anafaa halafu uchakachue huyo uliemchagua performance yake na hao watu zinaendana?? me naanza na Buffon
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom