Tanzania bado ni kichwa cha mwendawazimu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,371
Wamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ?

Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu.

Hii nchi haijajipanga kisoka .

Nakala imfikie Jamal Malinzi , Rais wa TFF.
 
Huyo...kocha ajiuzuru mapema....kabla mambo hayajaalibika....akuna kitu amefanya.....timu inacheza hovyooo kabisa.....
 
Michezo ni maandalizi ya muda mrefu na sio kauli mbiu!! Lesotho nao wamedindaaa!!!???? Hata wale under 17 posho zao hadi leo hawajaripwa nasikia walipewa nauli tu za kuwafiisha makwao tu!! Eti GABOOOON MPAKA KOMBE LA DUNIAAAA!!!!
 
Wamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ?

Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu.

Hii nchi haijajipanga kisoka .

Nakala imfikie Jamal Malinzi , Rais wa TFF.
Mpira si sawa na kuandaa mkutano wa chama.. Wamevuna walichopanda..Poleni wa TZ, kila sehemu viwango vinapanda na kuongezeka
 
Michezo ni maandalizi ya muda mrefu na sio kauli mbiu!! Lesotho nao wamedindaaa!!!???? Hata wale under 17 posho zao hadi leo hawajaripwa nasikia walipewa nauli tu za kuwafiisha makwao tu!! Eti GABOOOON MPAKA KOMBE LA DUNIAAAA!!!!
Hii noma sasa !
 
Siku tegemea.mtu km ulimwengu umwanzishe kat..wakat ulmwengu ni mchezaji anaetokea pemben pia wachezaj c wa.kuwalaumu bhn bt mayanga anashindwa kuwatumia wachezaj.aisee
 
Subiri muone timu ya Zanzibar inavopiga kabumbumbu kama Brasil..... Sijui lini lakini tutaingia kwenye michuano mana umember tushaupata
 
Wamecheza soka bovu kabisa ! Hivi kama mnashindwa kuifunga Lesotho mtamfunga nani ?

Kuna haja ya kuiondoa Taifa stars kwenye michuano yote ili kuepuka aibu.

Hii nchi haijajipanga kisoka .

Nakala imfikie Jamal Malinzi , Rais wa TFF.
Ingia wewe kwenye timu ya taifa ili utufungie mabao mengi shenzy type mibongo kwa lawama.
 
Siku tegemea.mtu km ulimwengu umwanzishe kat..wakat ulmwengu ni mchezaji anaetokea pemben pia wachezaj c wa.kuwalaumu bhn bt mayanga anashindwa kuwatumia wachezaj.aisee
Wachezaji wenyewe wako wapi?? Hata huyo samata mtamlaumu bure tu timu ni ushirikiano wa wote!! Wengi wao ni vichwa vya ndezi tu, kesho utasikia mala vijana wamejitahidi. Kujipa moyo wa kijinga tu LESOTHOO!!!
 
Back
Top Bottom