Kesho nataka kwenda kuangalia mechi ya Taifa Stars ili sijui nafikaje!

kisiki kizito

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
676
858
Habari wakuu!

Kupitia kichwa cha habari mimi nakaa Mikocheni Regent kwa anayeweza kunielekeza namna yA kufika Chamazi Complex kuangalia mechi Kesho naomba anielekeze.

Yaani usafiri na kama kuna maandalizi yoyote natakiwa kufanya.

Ahsanteni.
 
Habari wakuu!!
Kupitia Kichwa cha Habari Mimi nakaa mikocheni regent kwa anayeweza kunielekeza namna YA kufika Chamazi complex kuangalia mechi Kesho naomba Anielekeze..... Yaani usafiri na kama kuna maandalizi yoyote natakiwa kufanya...
Ahsantenj
fika mbagara rang 3...ukifika mbagala rang 3 panda magari yanayokwenda mmbande utashuka uwanjani(azam)...kama utakuwa na uwezo wa kufika kariakoo....kuna magari ya mojakwamoja toka kariakoo(gerezani)..paka mmbande kisewe(japo wewe utashuka azam kiwanjan)
 
Je kurudi Wakati wa Usiku inakuaje mkuu
 
wanacheza na timu gani?mm nitaangalia kupitia TV bado sijaamini Hii timu kuna cha maana wanaweza kufanya.mm sitoenda uwanjani mpk pale nitakaposikia Mzee Mwinyi amebaditilisha ile kauli yake ya kichwa cha mwendawazimu.
 
Habari wakuu!!
Kupitia Kichwa cha Habari Mimi nakaa mikocheni regent kwa anayeweza kunielekeza namna YA kufika Chamazi complex kuangalia mechi Kesho naomba Anielekeze..... Yaani usafiri na kama kuna maandalizi yoyote natakiwa kufanya...
Ahsantenj
Panda gari ya mbagala rangi tatu,hapo utazikuta za chamaz panfa
 
Hivi kule zakeem bado wale watoto wazur wapo, sabab baada ya taifa star kushinda itabid nipitepo kushangilia ushind
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom