Hapa ndipo ninaposhindwa kuilewa TFF

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,179
6,238
Habari Kamarada,

Hivi hawa TFF wanatumia vigezo gani kuzuia AZAM FC kutotumia uwanja wake wa nyumbani pindi inapocheza mechi za ligi na SIMBA/YANGA, na kuruhusu TIMU YA TAIFA kutumia uwanja huo kwa mechi za kimataifa? Ina maana SIMBA/YANGA ni timu kubwa kuliko timu ya taifa??
 
Mi Nadhani Wamebaini Kuwaa Timu Kwa Sasa Haina Mvuto Lakini Kuna Wazalendo Wachache Watakwenda Kuiangalia Kwahiyo Mechi Ikiwa Taifa Ni Uwanja Mkubwa Sana Hata Wale Wazalendo Wachache Amshaamsha Zitakosekana Kwani Sidhani Hata Jukwa Moja Litajaa, Kupeleka Mechi Mbande Azam Complex Ni Hatua Nzuri Ya Tff Kutambua Hilo Ili Wale Wachache Watakaoingia Wajaze Uwanja
 
Habari Kamarada,

Hivi hawa TFF wanatumia vigezo gani kuzuia AZAM FC kutotumia uwanja wake wa nyumbani pindi inapocheza mechi za ligi na SIMBA/YANGA, na kuruhusu TIMU YA TAIFA kutumia uwanja huo kwa mechi za kimataifa? Ina maana SIMBA/YANGA ni timu kubwa kuliko timu ya taifa??
Unauliza majibu ?
 
Back
Top Bottom