Waungwana nimeisoma hii ikanipa shock, huu wimbo utaisha lini, sioni dalili ya kufikia hata kibwagizo, hebu check huu ubeti
Mabilioni ya TCRA yaibua utata bungeni
Mwandishi Wetu Juni 25...
"State intelligence agencies can -- and do -- access citizens' private communications illegally".
Read this article that is in the public domain in SA:
Secret state: How the government...
marekani now wamedizaini ndege ambayo haiwezi kuathiliwa na mionzi ya nyuklia pindi vita hii ya tatu itakapoanza, ndege hii inauwezo pia wakuingia chini ya bahari kama nyambizi inaitwa doomsday...
Imekuwa kawaida sasa kusikia serikali ikikataza maandamano ya vyama vya siasa kwa kile walichoita "sababu za kinteligensia' kuwa wangevuruga amani na mambo mengine kama hayo. Mshangao wangu ni...
Wana JF, itakumbukwa ya kuwa miezi kadhaa nyuma baada ya Mengi kuwatuhumu maofisa wa Polisi kutaka kumbambikizia mtoto wake madawa ya kulevya na kuwataja kwa majina na kiasi cha mgawo kilichopita...
Jamani nina stori ndefu inayonihusu mimi nilifunguliwa kesi na bado inaendelea kuhusu watu fulani walijiita maafisa bima lakini ni matapeli na mamlaka ya bima ilithibitisha hayo na hukumu ilisema...
Matamanio Yetu
Wakati mwingine uandishi ni uwakilishi wa kweli wa mawazo yako yakiwakilisha jamii ya watu wa aina fulani, aidha kitabaka, kijinsia au hata kiimani.
Upeo wa maisha ya...
Wadau,
Wikileaks imetoa news kuwa kampuni ya China ya Huawei imekiri kutumiwa na China kufanya ushushushu.
Kuna baadhi ya mitandao ya simu hapa nchini kwetu bongo ambayo inatumia mitambo...
Dear readers,
For a long time I have been reading a lot about the famous Jeetu Patel and this prompted me to dig deep to know exactly who this guy really is.
Much to my surprise and quite...
Na. M. M. Mwanakijiji (MwanaHalisi)
Sasa najua kwanini waliliua Azimio la Arusha kule Zanzibar na kulizika bila kuliswalia dua za mwisho wala kulifanyia ibada ya mazishi. Sasa najua kwanini jina...
Bwana huyu ni mhandisi mhitimu wa chuo kikuu cha Delft (Delft University of Technology) na mfanyakazi wa kampuni ya kijerumani iitwayo Orca Exploration ambayo ipo Tanzania.
Ametokea Oman ambapo...
Watu 10 wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar baada ya kupigwa na askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wa kambi ya Bavuai Migombani kufuatia mke wa...
Othman una kazi kweli, kama mnapoteza muda kufuatilia tunaosoma mkataba badala ya kuwafuatilia akina Balali wasituibie pesa zetu BOT?
Kutoka gazeti la Mwananchi.
Serikali yaonya wanaosambaza...
Ndugu wana JF hebu tuangalie naomba suala lazima la utumiaji wa tafiti zetu tunazozifanya hapa Bongo. Katika upeo wangu na mlolongo wangu wa kutafuta elimu nimekumbana na tafiti nyingi sana na...
Baada ya utafiti kuonesha kwamba rushwa nyingi/kubwa kubwa zilikuwa kwenye manunuzi(Procurement of public goods and services) ya umma, serikali iliamua kuanzisha sheria ya Manunuzi, Public...
Caught on Tape: Selling America's Secrets
Rare Video Obtained By "60 Minutes" Shows Pentagon Employee Selling Secrets to Chinese Spy
YouTube- Defense Department Official Caught On Video...
Jana kulikuwa na kipindi katika BBC 4 kikionyesha uozo wa TAZARA reli ambayo kidogo watanzania wanajivunia lakini uozo wa humo umenifanya nijiulize kama TAZARA (Freedom Railway) ni hivi, TRL...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.