Marekani na ujanja wao kwenye world war 3 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marekani na ujanja wao kwenye world war 3

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by libent, Nov 23, 2011.

 1. libent

  libent JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  marekani now wamedizaini ndege ambayo haiwezi kuathiliwa na mionzi ya nyuklia pindi vita hii ya tatu itakapoanza, ndege hii inauwezo pia wakuingia chini ya bahari kama nyambizi inaitwa doomsday plane. tembeleeni kwenye www.you tube.com/doomsday plane
   
 2. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [​IMG][​IMG]
   
 3. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,787
  Likes Received: 2,684
  Trophy Points: 280
  Kama wana kitu hiyo, wasingemchelewesha Iran!
   
 4. libent

  libent JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Hii kitu ipo kweli muda bado haujafika angalia wanavyouchokonoa huu mgogoro wa irani wanatafuta mahali pa kuanzia
   
 5. Mr.Toyo

  Mr.Toyo JF-Expert Member

  #5
  Nov 23, 2011
  Joined: Feb 9, 2007
  Messages: 433
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [h=1]TAKE A TOUR OF THE MILITARY‘S ’DOOMSDAY PLANE’ THAT CAN SURVIVE A NUCLEAR BLAST[/h]That‘s the nickname given to the military’s E-4B 747 airplane. But none of those names stack up to its more ominous descriptor: “doomsday plane.”After learning just a few facts about the aircraft, you realize quickly the name is appropriate. For example, it has an electromagnetic pulse shield as well as thermo-radiation shields that protect the plane in the event of a nuclear strike. It has its own security team, can fly for days without stopping to refuel, and it can even communicate with submarines underwater. And it can be scrambled almost immediately, like it was after 9/11.“If the command centers that are on the ground in the United States have a failure of some sort, or attack, we immediately get airborne. We’re on alert 24/7, 365,” Captain W. Scott “Easy” Ryder, Commander, NAOC, told ABC News. “Constantly there’s at least one alert airplane waiting to get airborne.”

  SOURCE:Take a Tour of The Military‘s 'Doomsday Plane' That Can Survive a Nuclear Blast | Video | TheBlaze.com
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Nov 23, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,382
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Wengine wakiwaza kutengeneza vitu kama hivyo kuna wengine wanawaza kujilipua....al shaabab bana
   
 7. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #7
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Sehemu mmoja Mmarekani amecomment hivi;

  whats the point of being a president where there is none alive..,anyone can be a president.....if he dies we can elect someone but if we all persons die the president cannot elect his people or in other words he cannot bring them alive,,...he will a president to the dead people....this is foolish...

  I can't agree more!
   
 8. the grate

  the grate JF-Expert Member

  #8
  Nov 23, 2011
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda sana hii point
   
 9. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #9
  Nov 23, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Ulimwengu wote mali ya mungu wala sio mali ya Amerika, walimwengu wote muwe macho na ujanja wao wamarekani, lengo lao waitawale dunia, wachukue mali zote za Dunia ili watu waiabudu...Dunia ni ya Mungu kwa watu wote!-By Munishi
   
 10. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Like! Like! Like!
   
 11. K

  Kiminyio Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 25, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa sasa USA ndiyo superpower, na ndiyo inayocontrol the world. Bahati mbaya tu hawajatangaza bado mafanikio ya New World Order progress ambayo ndiyo George Bush Sr. aliitiisha rasmi dunia. Cha kushukuru Mungu ni kuwa, kwa sasa Dunia ipo katika a third world war of multy polar restructuring. Hata hivyo, hiyo haitusaidii sisi kama nchi kwa kuwa at the end of it, itabidi tena kale kajumuia ka NAM karudi tena. Cha msingi ni kujenga Taifa, ambalo nasi tutaweza kutoa na kudicted world policy, vinginevyo dont be involved with this motions because you will develop the heart deseases.
   
 12. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Ujanja mwingi mbele kiza. Napita tu.
   
 13. R

  Renegade JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,770
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Inaelekea kuwa WW III Iko njiani, England na Euro yote wameigeukia Iran, Israel bifu na Iran, US na IRAN Wanatafutana, na wale vichaa wa kule Tehrain naona Kama kuna nukia vitavita Hapa.Yale matukio yote yaliyotokea IRAN Kama kuna mpango fulani vile, kuuawa kwa Mtaalamu wa Nyuklia wa Iran, kulipuliwa kwa kambi na wataalamu wa Iran si bahati mbaya, je ni muelekeo wa Vita ya 3 ya Dunia?
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,225
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Tatizo Wamarekani hawajanusa kinachoendelea China kiteknolojia, kiintelijensia na kiuchumi. Wao wanawekeza katika weaponry ilhali Wachina wanawekeza katika kujijazia utajiri na utaalamu kutoka kila pembe ya Dunia. Wakijakushtuka, Wamarekani watajikuta wana silaha lakini hawana pesa za kupigania. Tafuta kwenye youtube, documentary ya "The Chinese are Coming"! ushangae wanavyojiandaa. Ndo sababu husikii Wachina wakijiingiza sana katika internal politics za nchi nyingine, wao ni kubeba resources tu hata katika nchi zenye vita km Sudan
   
 15. mjombo's

  mjombo's JF-Expert Member

  #15
  Dec 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 495
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmmmmhhhhhhhhhhh ni noooooooooommmmmmmmmaaaaaaaaaaaaaah
   
 16. M

  Mussa2000 Senior Member

  #16
  Dec 7, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  je ni muelekeo wa Vita ya 3 ya Dunia?[/QUOTE]

  Mkuu apparently hakuna WW3 ila kimsingi kama unavyojua U.S iko ktk mwendelezo wa mchakato wake wa kutawala kila kitu ktk dunia hii mchakato huu ndo kile unachosikia New World Order (NWO).
   
 17. libent

  libent JF-Expert Member

  #17
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mkuu apparently hakuna WW3 ila kimsingi kama unavyojua U.S iko ktk mwendelezo wa mchakato wake wa kutawala kila kitu ktk dunia hii mchakato huu ndo kile unachosikia New World Order (NWO).[/QUOTE]

  Mkuu New Word Order haitakuja bila kuwepo WWW3 ili kuondoa yale mataifa yatakayotaka kuresist kama Russia, Chines, Iran, United Arab Emirates, umoja wa nchi za kiarabu. NWO haitakuja mpaka global population iwe chini ya watu mil. 500 ambayo itafanikiwa kupitia katika vita hii ambapo mwongozaji mkuu ni roman empire iliyo kufa kwa sababu ya utawala wa wanadamu itaibuka kama European Union chini ya jeshi la NATO. Nashut down
   
 18. ATUGLORY

  ATUGLORY Senior Member

  #18
  Dec 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu New Word Order haitakuja bila kuwepo WWW3 ili kuondoa yale mataifa yatakayotaka kuresist kama Russia, Chines, Iran, United Arab Emirates, umoja wa nchi za kiarabu. NWO haitakuja mpaka global population iwe chini ya watu mil. 500 ambayo itafanikiwa kupitia katika vita hii ambapo mwongozaji mkuu ni roman empire iliyo kufa kwa sababu ya utawala wa wanadamu itaibuka kama European Union chini ya jeshi la NATO. Nashut down[/QUOTE]

  SAME OLD UNSUBSTANTIATED, ARABIC CONSPIRACY THEORY, PFWAAAAh:mad:
   
 19. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,997
  Likes Received: 1,568
  Trophy Points: 280
  wengine wanawaza kutengeneza pesa wakitumia mdomo wa YESU
   
 20. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #20
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,997
  Likes Received: 1,568
  Trophy Points: 280
  HAO WATAKAOBAKIA 500 MIL WATAKUWA WOTW WAKIENDA WAKIANGUSHA MIKONO MAANA USHOGA NDIO UNAOPIGIWA DEBE

  SAME OLD UNSUBSTANTIATED, ARABIC CONSPIRACY THEORY, PFWAAAAh:mad:[/QUOTE]
   
Loading...