Polisi wetu na serikali hawana busara

Babuuz

New Member
May 30, 2011
1
0
Jamani nina stori ndefu inayonihusu mimi nilifunguliwa kesi na bado inaendelea kuhusu watu fulani walijiita maafisa bima lakini ni matapeli na mamlaka ya bima ilithibitisha hayo na hukumu ilisema walikuwa ni watumishi wa NIC zipo taarifa kuhusu NIC 2009 watumishi wote walisimamishwa kazi nami ndicho kipindi nilichokamatwa.

Nilifanya upelelezi mwenyewe nilipata cover note na risiti za kampuni ya RELIANCE INSURANCE NA NIKO INSURANCE ndizo walilipishwa wananchi mitaani hata hivyo upelelezi ulipata jina la huyo aliyenikamata kuwa mnamo mwaka 2005 aligombea kiti cha ubunge wilayani Nzega, TABORA na katika matokeo alikuwa wa nne alipata kura 421 kupitia chama cha CHAUSTA.

YEYOTE ANAYETAKA STORI HII TUWASILIANE ILI ANIPE MSAADA WA SHERIA VIELELEZO MBALIMBALI NINAVYO NA WANATAKA KUNIONEA ILI KUFICHA AIBU ZA WAKUBWA WA POLISI; INASEMEKANA WALIKUWA WANAKULA NAO,

elimudaima@yahoo.com 0784-709800
 
"YEYOTE ANAYETAKA STORI HII TUWASILIANE ILI ANIPE MSAADA WA SHERIA VIELELEZO MBALIMBALI NINAVYO NA WANATAKA KUNIONEA ILI KUFICHA AIBU ZA WAKUBWA WA POLISI; INASEMEKANA WALIKUWA WANAKULA NAO,"

wao wamemwaga uagali wewe mwaga mboga ! kama una uhakika wanakuonea wamwage hapa jamvini kwa majina yao halisi tuwajadili. tena nina usongo na hiyo mijitu mingine uloitaja hopo juu
 
Hii haifai kabisa... kama uliamua kusema sema, kama hutaki ondoa hii ubaki na unaowataka wajue
 
Back
Top Bottom