Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Katika karne ile ya kumi na tatu kilinzishwa chombo cha papa cha kutisha mno - yaani, ile Inkwizisheni (Inquisition) [Mahakama ya Kanisa Katoliki ya kukomesha uasi, hasa katika karne ile ya 15 na...
12 Reactions
206 Replies
34K Views
Habari zenu wandugu.Leo ni jumatatu najuwa wengi tupo katika mihangaiko ya kutafuta riziki ya kila siku. Niingia katika madaDunia hii tunayoishi ilianzia wapi,nini chanzo chake,hayo ni baadhi ya...
3 Reactions
26 Replies
7K Views
Wakuu, Unapofungua Agano Jipya,hasa katika zile Injili Nne,utakutana na uadui kati ya Wayahudi dhidi ya Wasamaria! Ila ushawahi jiuliza chanzo cha ukinzani huu? Basi twende sote tupate kujua...
12 Reactions
134 Replies
43K Views
Vitabu vya apokrifa. Je umewahi Kusikia biblia yenye Vitabu 72? "Huu ni uvumbuzi Mkubwa watu wengi...
3 Reactions
69 Replies
18K Views
MCHANGO WA MAJASUSI WA KIDOLA KATIKA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA NCHINI URUSI Katika hadithi za kijasusi za Urusi na Marekani, si kawaida kuacha kutaja majina ya 'mashujaa wa ujasusi wa urusi'...
3 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari zenu.... Jamani hii imekaaje ni binti ambae tulisoma nae primary ni miaka imepita.... kwakipindi cha takribani miaka mitatu nimekuwa nikimuota saaana si kwamba labda alikuwa rafiki...
1 Reactions
4 Replies
6K Views
Kumekuwepo na mitazamo kwamba biblia inazungumzia wazungu na sisi waafrica we had nothing to do with the bible na wokovu wa wanadamu (for believers), wala bible haitutaji. Leo nakuletea watu...
32 Reactions
183 Replies
41K Views
Ndugu zangu hamkani si shwari tena...you are being watched n monitored!take care Uhuru wa kupashana habari umeingia kitanzini... mitandao ya kijamii imebanwa mbavu.... mada nyingi zenye kukosoa...
23 Reactions
100 Replies
16K Views
Ninaanzisha thread hii ili kuwakaribisha wataalamu wa Nuclear phyiscis watupe elimu kuhusu Nuclear energy. Bomu la nyuklia hutengenezwa kutokana na madini yenye asili ya Radioactive kama vile...
51 Reactions
144 Replies
49K Views
March 23 mwaka 1994 tabibu mkaguzi(medical examiner) anauchunguza mwili wa marehemu Ronald Opus na kufikia maamuzi kua Ronald Opus alikufa kwa kupigwa risasi kichwani, Hii inatokana na jeraha...
54 Reactions
81 Replies
17K Views
Bell was a Scottish-born American scientist and inventor, most famous for his pioneering work on the development of the telephone. Alexander Graham Bell was born on 3 March 1847 in Edinburgh and...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu, Baada ya kuyaangalia mapigo matano ya kwanza,ebu tumalizie matano mengine! Baada ya wanyama wa mwituni na nyumbani kufa,pigo la sita lilifuatia! PIGO LA SITA Musa aliyachota majivu ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Je Kiusalama na Kiulinzi ni ' afya ' kwa Kiongozi yoyote yule wa nchi kulindwa na askari waliobeba silaha kali na nzito popote pale anapokuwa au hasa akiwa katika halaiki ya Watu? Na kama ni...
14 Reactions
195 Replies
20K Views
Nilipatwa na furaha nilipo sikia kwamba twiga mwenye sifa ya kipekee ana patikana hapa Tanzania na kwamba ana uzito wa zaidi ya tani mbili wakati yule wa kawaida ana tani moja na kilo mia mbili...
6 Reactions
33 Replies
12K Views
Tnamfahamu Jaji Chande Othman, aliyekuwa Jaki Mkuu wa Tanzania. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amemteua kuchunguza kifo cha Katibu Mkuu wa zamani, Dag Hammarsjold, aliyeuwawa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Unajua wengi tumekua na kukuta utaratibu ambao umewekwa na walitutangulia. Wengi tumedumisha imani ambazo tumezikuta mwenye jamii yetu. Hivi ulishawahi jiuliza kwanini www ni dini hiyo...
8 Reactions
275 Replies
32K Views
  • Poll Poll
(Angalia chini kwa tafasiri ya Kiingereza) Solstisi ya Kaskazini itakuwa Juni 21, wakati mhimili wa Dunia utainama kwenye bapa ya Mfumo wa Jua kwa kiasi cha nyuzi 23.5. Nusu ya kaskazini mwa...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Operesheni Neptune au D-Day kama wengi wanavyoifaham (jina la operesheni ya awamu ya kwanza ktk utekelezaji wa Operesheni Overlord) lilijumuisha Marekani, Uingereza, Canada, Ufaransa na vikosi...
6 Reactions
11 Replies
3K Views
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwa Kama kichwa cha habali kinavyosomeka hapi juu kifo na uhai vyote ni kaz ya mungu baba wa mbingun aliye juu hilo halina ubishi kwa mwabadamu yeyote yule Kipi ni...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Baba wa Taifa (picha) Bendera ya Taifa Nembo ya Taifa Wimbo wa Taifa Bunge Mahakama ... na kadhalika, ambavyo ni SUPRANATIONAL
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom