Wachina wanashushushu mitandao ya simu inayotumia Huawei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachina wanashushushu mitandao ya simu inayotumia Huawei

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Chifunanga, Mar 3, 2011.

 1. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
 2. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ndugu kuwa muangalifu. Kuna ugomvi mkubwa wa kisiasa na kiuchumi kati ya China na US. Lolote unaweza kusikia from either side!. Be on top and judge accordingly.
   
 3. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hii ni janja ya wa watu wa mgahribi ku weaken nguvu ya kampuni za china.

  Yes wanaweza kuwa na wekaness na wnatumiana goverment zao . Hivyohivyo hata kampuni za Ulaya zinafanya.

  Wikileaks imeonyesha jinsi Beoing inavyolloby upata tender nchi mbali mbali

  Sisi hatuna teknlojia hatuna pa kukimbilia .Ukinunua Rada ya BAE ujue waingereza na wamerakani wanajua mapungufu yahizo rada.
  Ukinunua ya mchina wanasema eti ni duni na haina viwango.
  Na bado sasa tutaanza kuchukua kuwa wateja wa india bcs sisi wa watumiaji/consumer tu.

  We have no choice sababu hatuna teknolojia.
   
 4. T

  Tofty JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2008
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  huawei wameshakuwa banned in india for the same reasons
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kushushushu ndo kufanya nini? Nisaidieni.
   
 6. w

  wheel-spiner Member

  #6
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 7. Hassano

  Hassano New Member

  #7
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nikama kuchunguza kitu kwa siri
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Jul 2, 2017
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,158
  Trophy Points: 280
  Habari ndio hii
   
Loading...