Nikola Tesla and Albert Einstein were two of the greatest scientists of all time, but they often worked in opposition to each other rather than together in cooperation.
Einstein’s theory of...
Wakuu kwanini karata picha zake zimekaa kitata?
Ile michoro ina maana yeyote na kuna yeyote anaelewa maana yake, hivi ziligunduliwa kwa ajili ya kuchezea kama tunavyocheza sisi au zina mambo yake...
Kutokana na kushamiri vitendo vya kiuchawi kuongezeka imekuwa vigumu kutofautisha ugonjwa wa kawaida na ule wa kiuchawi, sasa dalili zake ni kipimo kikubwa cha kujua uchawi na malaria tofauti yake...
Habari, nilikuwa nalisikia sana suali hili lakini leo nimeamuwa kulijibu kwa kunukuu maneno yake mungu
Kiukweli ni suali moja gumu ambalo haliwezi kujibiwa na yoyote katika dunia ama kwengine...
Wewe ni nani?
Wewe sio kazi yako unayofanya, wewe sio kundi la watu unalojihusisha nalo.
Wewe sio mawazo yako,
Wewe sio Akili yako,
Wewe sio mwili wako,
Wewe sio mtu mwenye furaha, huzuni...
Habari wakuu, natumai wote ni wazima. Napenda kuwaletea thread kuhusu Espionage au Intelligence. Espionage ni nini? Espionage ni kitendo cha kukusanya taarifa au nyaraka muhimu za nchi/taifa au...
CHANZO CHA VIFO VYA USINGIZINI.
Waslaam wanajf kisima cha maarifa.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Watu Wengi Sana tumekuwa tukijiuliza kwanini mtu analala usiku halafu asubuhi watu...
Habarini za saa hizi wakuu..
Bila kupoteza muda usiku wa kuamkia leo nimeota natapika mapande ya nyama iliyopikwa na kuna mtu pembeni yangu(simkumbuki) ndiye aliyekuwa ananambia nifanye hivyo na...
Zito akichangia bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini, amesema kwamba Waziri Karamagi alikwenda kusaini mkataba wa Mgodi wa Buzwagi, London kwa kutumia mfumo wa mikataba wa zamani wakati serikali...
wakuu nawasalimu wote na kheri ya mwaka mpya...
Leo naomba kujua kama je inawezekana kwa rais kuitoroka nchi yake kama vile wafanyavo baadhi ya watumishi wa idara za ujasusi?
Ninawasilisha....
Jamani kuna jambo kidogo huwa linasumbua sana kichwa changu! Na sijapata majibu.Hivyo nimeona bora nililete humu labda nitapata msaada.
Jambo lenyewe ni hili; ikiwa Adam na Hawa(Eva) ndo chanzo...
Ripoti ya shirika la wahisani la Save the Children inasema kuwa watoto milioni 700 duniani wamepoteza fursa ya utoto wao, kutokana na sababu mbali mbali kama magonjwa, ndoa za mapema na mizozo...
Do Muslims or Arab nations( majority are Muslims) aware of Israel as the choosen Nation of God? Do they?
If they do why hating or standing against Israel?? Are they against Almighty God?
If they...
Kumekuwa na nchi tofauti hasa zenye uchumi mkubwa kwenda anga za mbali na nyingine kuwa na vituo huko angani kama ilivyo Marekani(NASA).
-Mara kwa Mara tumekuwa tukipewa taarifa za mafanikio...
Baada ya kusoma michango ya wanaintelligence mbalimbali na nikagundua umuhimu wa mtu kuishi kiintelligence na kilichonifanya nifikirie zaidi ni namna gani niweze badilisha maisha na kuishi maisha...
Hello JF Fans.!
Leo ni siku ya Ibada hasa kwa Wakristo walio wengi, lakini bado kuna ambao hatuwezi kufika Kwenye sehemu za Kusanyiko kushiriki na wenzetu katika Ibada kutona na sababu kadha wa...
Hivi wale panya waliotangazwa kuwa wana uwezo wa kutegua mabomu ni kweli walikuwepo/wapo au au yalikuwa mambo ya wanasia tuuu? Kama wapo kwa nini wasipelekwe Mbagala wakafanye kazi yao? Saidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.