Jitambue ikiwa umezaliwa ukiwa na uwezo au nguvu za kichawi ndani yako ambazo unafree will nazo kutozitumia au kuzitumia kwa mazuri(chanya) au mabaya(hasi), kazi ni kwako;
1.Una imani thabiti juu...
Shikamooni wakubwa zangu wote.
Jana wakati ninafungua account yangu ya Facebook nilikutana na post hii ya jamiiforums kwenye ukurasa wao wa Facebook kwamba police wamelaani vikali juu ya taarifa...
Leila Khaled & 1970 Dawson's Field Hijackings: Komando wa kike kutoka PFLP (Marxist–Leninist Arab Revolutionary Movement) aliyehusika kuteka ndege El Al Flight 219
Ndege za abiria zikilipuka...
Hi Socrates,
Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kusoma vitabu kwa kigezo cha kukosa muda kutokana na kuwa busy na utafutaji n.k, Je nkisema sio kweli nitakuwa nakosea..!?
Twende pamoja, Najua wengi...
(It's true my self)
Habari wakuu,
Husikeni na mada tajwa hapo juu. Baada ya kuamka muda huu nimeona sio vibaya Ku share nanyi ndoto yangu. Najua humu Tuna wasomi na wataalamu wa mambo...
Kwanza salamuni wana jamvi.
Huwa siachi kujiuliza tena kwa kusononeka nisikiapo maeneo kama Jerusalem na Makka na mengine yakiitwa matakatifu kana kwamba dunia iliyobaki ni chafu. Huwa sipati...
Wafu pekee ndio hawaoti na hawaoti kwakuwa hawana kumbukumbu tena na hawana kumbukumbu tena kwakuwa hawana uhai tena.
Kila binadamu kamili lazima awe na vivuli vitatu kukosa kuwa na vivuli vyote...
Mmoja wa wanakamati ya kudeclassify files za iliyokuwa KGB anaelezea sababu za kuuawa kwa aliyekuwa mbabe wa USSR Joseph Stalin, na udhaifu wa KGB katika Counterintelligence mpaka kiongozi wa...
Habari za jioni wanajukwaa
Niende moja kwa moja kwenye mada kama title inavyosema
Kutokana na nilichotafiti binafsi kwa kuconnect dots ya vitabu mbalimbali nilivyosoma nimekutana na argument...
nimeangalia viongozi wengi wakiwa na vimo vifupi huwa wanatumia magari ya chini Hillary Clinton aliamua kutembea na kigoda kama picha inavyoonekana pichani, kigoda hiki humsaidi kupanda kwenye...
habari za hapo mlipo wapendwa wa jf,natumai kuna wazima wa afya na wadhoofu wa afya si mbaya sote tuko pa1 katika gurudumu hili la kufanikisha dunia isonge na iwe na mchakato kamili wa kimaisha ya...
Wengi wetu tunaamini kuacha nywele za kichwa zikue na kujisokota kuwa ni uhuni na si tabia njema kwa kadamnasi ya jamii inayo kuzunguka,lakini si hivyo isipokuwa tu ni maadili ya nchi yetu...
Wanabodi,
Angalizo: Naomba kuanza bandiko hili kwa kutoa angalizo muhimu kuwa hapa simzungumzii mtu yeyote specific, bali naendesha somo la psychoanalysis ya hypothetical situation ya hulka za...
Nyerere kaondoka Duniani akiwa kaacha heshima kubwa mno kimataifa.
Wanasiasa wa Tanzania wamekuwa hawaachi kumtaja huyu Mzee kila mara kwenye kampeni au hotuba zao.
Alimshauri rafiki yake mkubwa...
MAJOR GENERAL Abdullah al-Senussi (Head of Military Intelligence) na tuhuma za kutekwa kwa kiongozi wa uislam Imam "Musa Sadr"
Good afternoon jamiiforums
Mnamo tarehe 13 mwezi Agosti mwaka...
Saddam Hussein, C.I.A & Italian Military Intelligence Service (SISMI): Tuhuma za wizi wa Uranium Powder (Yellowcake) kutoka migodi ya kampuni za Ufaransa nchini Niger!
UTANGULIZI SEHEMU YA...
Habari wadau. Mimi ni mwanachama mpya humu. Nina jambo ambalo limekuwa likinichanganya kwa siku nyingi. Kwa mwenye uelewa japo kidogo ninaomba kufahamishwa.
Wadau ni kwa nini duniani kuna watu...
Dear Minister of Foreign Affairs,
First and foremost, i would like to congratulate the President of United Republic of Tanzania Mama Samia for appointing you to be the Minister of Foreign...
Katika siasa za kimataifa, mauji ya halaiki ni eneo ambalo limeutesa Utu kwa miaka mingi. Infact wataalamu wa historia ya maendeleo ya mwanadamu wanasema mauji ya halaika ni moja ya jambo...
Wakuu. Turejee
Kwenye historia tunajua kuwa waafrika tulitawaliwa. Mababu zetu walichapwa viboko na kulimishwa( historia inasema hivyo sio mimi)
Hata dini tuliletewa na haohao waliotuchapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.