zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,233
- 39,799
Habari za jioni wanajukwaa
Niende moja kwa moja kwenye mada kama title inavyosema
Kutokana na nilichotafiti binafsi kwa kuconnect dots ya vitabu mbalimbali nilivyosoma nimekutana na argument kwamba kuna uwezekano weusi wetu ulitokea kwa mke wa Ham aliyeitwa EGYPTUS au Neitamuk kisumeria ambaye ni mtoto wa Cain na tuanzie na jinsi source tofauti zinaweza kuprove argument hii
Tukianza na Biblia ambayo ndio msingi wa stori ya Cain haielezi wazi kabisa kuwa Cain alikuwa mweusi ila inaongelea kuhusu Cain aliwekewa ALAMA ambako watafsiri wengi wa biblia ya kiebrania wameihusisha na rangi ya mwili
Mwanzo 3
15 BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.
Ingawa biblia haijaeleza hiyo alama ina maana gani ila nikakusanya dots kwenye kitabu cha jasher
Jasher 2:26-30
27 And Tubal Cain told his father to draw his bow, and with the arrows he smote Cain, who was yet far off, and he slew him, for he appeared to them to be an animal.
Huu mstari ulinifanya niamini kwamba huenda alama aliyowekewa ilimfanya Cain awe MWEUSI ambapo kwa kuwa rangi hiyo haikuwa imezoeleka wakahisi mnyama ndio maana wakamuua
NB: Wengine mtasema book of jasher hakipo kwenye biblia hivyo sio reliable.... Ushahidi wa kwamba lamech alimuua Cain upo pia kwenye biblia maana Mungu alisema atakayekuuwa atalipia kisasi mwanzo 4:15
15 BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo ye yote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba
Na huu unabii unatimia hapa
Mwanzo 4
23 Lameki akawaambia wake zake,Sikieni sauti yangu, Ada na Sila;Enyi wake za Lameki, sikilizeni usemi wangu;Maana nimemwua mtu kwa kunitia jeraha;Kijana kwa kunichubua;
24 Kama Kaini akilipiwa kisasi mara saba,Hakika Lameki atalipiwa mara sabini na saba.
Nje ya biblia kuna source zifuatazo za vitabu vya kale vya mashariki ya kati na kihistoria ambako vilikuwa kwenye biblia ya kwanza ila vikatolewa na vingine vinatumika na makanisa kma mormon na LDS n.k
Book of Moses 7:22
22 And Enoch also beheld the residue of the people which were the sons of Adam; and they were a mixture of all the seed of Adam save it was the seed of Cain, for the seed of Cain were black, and had not place among them
Hapa kipo wazi kabisa kwamba Cain alikuwa ngozi nyeusi pamoja na kizazi chake sasa swali la kujiuliza baada ya gharika weusi ulifikaje??
Kutokana na kitabu cha book of Abraham sura ya kwanza inatuonyesha kwamba cain alikuwa na binti anaitwa egyptus ambaye aliolewa na mtoto wa Noah aliyeitwa Ham na ndio akazaa kizazi cha watu weusi
NB: hapa pia mtasema ni nje ya biblia hivyo kuhusisha Ham na egypt ni upotoshaji..... Hivyo basi ndani ya biblia kuna mistari mingi inayoprove kwamba Ham kweli alikuwa ndio wa kwanza kuwa na kizazi misri
Zaburi 78:51
51 Akampiga kila mzaliwa wa kwanza wa Misri,Malimbuko ya nguvu katika hema za Hamu.
Zaburi 108:23
23 Israeli naye akaingia Misri,Yakobo akawa mgeni katika nchi ya Hamu
Baada ya kuona connection kati ya cain na ham na egyptus sasa ushahidi ni upi kwamba mtoto wa ham alikuwa mweusi!! Tunaipata kutoka kitabu cha Mussa ambacho pia kinatumiwa na baadhi ya makanisa ila sio protestant na waroma
Book of moses 7:8
8 For behold, the Lord shall curse the land with much heat, and the barrenness thereof shall go forth forever; and there was a blackness came upon all the children of Canaan, that they were despised among all people.
Kutoka mstari huu tunaona canaan alikuwa mweusi ambaye kuendana na biblia alikuwa ni mtoto wa Ham hivyo basi tunaweza conclude kuwa watu weusi tumetoka kwa CAIN
Karibuni wanajukwaa na wajuvi wa mambo tusaidiane asili ya mweusi ni ipi hasa na kama kweli tumetokana na CAIN.....
Ahsanteni