Nimevutiwa kushare kile kidogo ninachokijua kuhusiana na namna upelelezi unavyofanyika, vitu gani ni muhimu mpelelezi kuwa navyo hili kufanya uchunguzi wa kawaida katika masuala ya mauaji yeyote...
Salaam wadau
Kumekuwa na mijadala mingi ya kwa nini watu wengi hawafanikiwi katika shughuli zao. Kiuchumi, kifamilia, kielimu na nk. Moja ya sababu zilizo tajwa ni namna yao kufikiri mambo...
The question: "If God is the creator, then who created the creator?" is illegitimate because by definition, the Creator is uncreated. He is eternal, without beginning, without end and all affairs...
Je, Wajua
Katika mikasa mbalimbali ya Biblia, Hadithi zinaonyesha kuwa Mungu amekadiriwa kuwaangamiza(kuwaua) watu 2,800,000 katika mikasa mbalimbali iliyomuudhi ikiwepo kipindi cha gharika...
Mada hii haipo kidini bali ipo ki-kisayansi na ki-intelectual zaidi.
Kutoka Jitambue Sasa Blog.
Unaweza ukawa uliwahi kuona watakatifu, walimu wenye hekima, walimu wa imani, watawa...
BINADAMU WOTE TAYARI TULISHA KUFA, KWASASA TUNAONESHWA KILA MTU JINSI ALIVYO ISHI.
Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayo endelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa...
Ni jambo la kushangaza na kuchanganya kidogo Kama si sana lakini wagonjwa mahututi wengi (sio wote) hufariki usiku wa manane.
Natambua fika jana jioni kuna watu wengi tu, wamewaacha wapendwa wao...
Kabla binadamu hajaumbwa Mungu alianza kuumba vitu na mazingira .
Kwa upande wa ardhi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo material yaliletwa na nani sasa.
Ni sayansi gani hii? Ni uchawi!? Ni mazingaombwe ama ni jambo la kufikirika tu lisilo na ukweli wowote?
Niliahidi kuleta mada hii, baada ya Dr. Shika kuchagiza kwenye simulizi yake ya kutoroka...
je alijua wengi watamlilia sana?
je watamuuliza sana maswali mengi?
je ameamua tu?
au hayupo?
Msaada wenu tafadhari mwenye idea na hili suala.
Japo najua kuwa yeye mwenyewe ndiye alipaswa...
Nimewaza hapa na hizi quarantine. Corona inaweza kuwa imekuja kutufungua macho. Nchi kama Tanzania asilikia kama 5 ya watu wote wan UKIMWI. Mkoa kama Njombe 14% ya watu wan UKIMWI. Ukiona watu...
Mlinzi wa Moi alikuwa commando.
Yule mtu aliyekuwa anaongoza ulinzi wa hayati Moi alikuwa ni Commando aliyepata mafunzo Israel.
Anaeleza alivyopata mafunzo halafu akarudi Kenya kufanya kazi ya...
Jitambue ikiwa umezaliwa ukiwa na uwezo au nguvu za kichawi ndani yako ambazo unafree will nazo kutozitumia au kuzitumia kwa mazuri(chanya) au mabaya(hasi), kazi ni kwako;
1.Una imani thabiti juu...
Shikamooni wakubwa zangu wote.
Jana wakati ninafungua account yangu ya Facebook nilikutana na post hii ya jamiiforums kwenye ukurasa wao wa Facebook kwamba police wamelaani vikali juu ya taarifa...
Leila Khaled & 1970 Dawson's Field Hijackings: Komando wa kike kutoka PFLP (Marxist–Leninist Arab Revolutionary Movement) aliyehusika kuteka ndege El Al Flight 219
Ndege za abiria zikilipuka...
Hi Socrates,
Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kusoma vitabu kwa kigezo cha kukosa muda kutokana na kuwa busy na utafutaji n.k, Je nkisema sio kweli nitakuwa nakosea..!?
Twende pamoja, Najua wengi...
(It's true my self)
Habari wakuu,
Husikeni na mada tajwa hapo juu. Baada ya kuamka muda huu nimeona sio vibaya Ku share nanyi ndoto yangu. Najua humu Tuna wasomi na wataalamu wa mambo...
Kwanza salamuni wana jamvi.
Huwa siachi kujiuliza tena kwa kusononeka nisikiapo maeneo kama Jerusalem na Makka na mengine yakiitwa matakatifu kana kwamba dunia iliyobaki ni chafu. Huwa sipati...
Wafu pekee ndio hawaoti na hawaoti kwakuwa hawana kumbukumbu tena na hawana kumbukumbu tena kwakuwa hawana uhai tena.
Kila binadamu kamili lazima awe na vivuli vitatu kukosa kuwa na vivuli vyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.