mama atakuja kuanguka

illegal migrant

JF-Expert Member
Oct 18, 2013
1,277
1,117
nimeangalia viongozi wengi wakiwa na vimo vifupi huwa wanatumia magari ya chini Hillary Clinton aliamua kutembea na kigoda kama picha inavyoonekana pichani, kigoda hiki humsaidi kupanda kwenye gari hizi za juu (SUV) mama yetu anapanda gari ya juu kwa shida, ushauri wangu atumie kigoda au awe anatumia magari ya chini
clinton.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom