Mtu ana roho ndani ya mwili na anayo nafsi ama mlango wa mawazo , (vitu vitatu kwa pamoja vinafanya mtu),
Mtu akifa mwili unarudi ardhini kwa kuoza , roho inabaki milele , roho inajua vitu vingi...
Ivi wakuu Kuna kitu kinanichanganya akili,
Nikiangalia system ya injini ya gari ilivyotengenezwa kwa mapangilio, na gari yenyewe pia kwa ujumla, yaani Kuna mfumo wa kupooza injini, Kuna mfumo...
Habari,
Kumekuwa na nyuzi kadhaa humu Jamii Forums na hasa katika Jukwaa dogo la 'Jamii Intellience' kuhusiana na hamu ya kujua kama Kusafiri kiwakati ni jambo linalowezekana ama ni visa vya...
SCARILY TRUE!!
AN ACCURATE HOROSCOPE FOR THE WHOLE YEAR 2014!
This is the real deal. See if it is true with all
the people you know. It sure was for me!!
AQUARIUS - Does It in the Water...
Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je, ukweli ni hiki tunachokiona au tunachokisikia?
Je, ukweli ni kile tunachokihisi au tunachokigusa au kinusa? Ukweli ni kitu gani? Ukweli uko wapi?
Je...
Nitangulie kwa kusema Utamaduni ni neno pana linalojumuisha mfumo mzima wa Maisha, lengo la Uzi huu ni kuonesha ni jinsi gani tulivyoubeba utamaduni wa kigeni na kuufanya dini zetu na pengine...
BOOK SUMMARY: WHITE POISON
(A Black Christian is a Traitor to the Memory of his Ancestors..Africa Wake Up !)
MWANDISHI: Kayemb “Uriël” Nawej
MCHAMBUZI: Ghost Writer([emoji317])
Tuanze kwa...
Habarini za asubuhi wanaJF, natumaini mko wazma sana na Pole ziende kwa wagonjwa. Leo Naomba nilete uzi huu wenye mada ya magereza matano duniani yenye hatari yake kwenye uzuri wa miundombinu...
Mtakumbuka gari moja jeusi lenye antenna kibao lililokuwa likiambatana kwenye misafara ya rais mabarabarani. Hili gari lilikuwa kwenye misafara ya Rais Magufuli enzi za uhai wake. Nimeshindwa...
Habari wana jamvi? Poleni na mihangaiko ya kimaisha.
Kwanza kabisa nianze kwa kusema nimekuwa na hili swali fikirishi sana kuhusu dini hizi mbili Uislam na Ukristo na mpaka sasa sijapata majibu...
Kuna nadharia nyingi ambazo zimekuwa zikieleza kuhusu asili ya binadamu.Kwa wakristo,Biblia imeeleza pia kuhusu asili au chimbuko la mwanadamu.
Biblia imeeleza jinsi mtu alivyopatikana tu,ila...
As i was sitting looking at the sky, i saw the sky colored by beautiful, yellowish, and gold-like color of the setting sun. It was like the sky was burning except it was beautiful and...
SIKU MOJA NIKIWA KATIKA KIJIJI CHA NJUNGWA MKOANI MOROGORO,NIKIWA NA BABU YANGU MZEE CHILUNDA AKINIFUNDISHA BAADHI YA DAWA ZA MAJINI NAKUMBUKA ALINIAMBIA
”BABU UNAONA HIZI KUNDE,UKIZIPIKIZA NA...
Sisi hatupo vitani,ila tunayo ya kujifunza.
1. Miaka mingi iliyopita Armenia ilitandika Azerbaijan na kunyang'anya maeneo makubwa.
2. Mwaka 2020 Azerbaijan ilijipanga ikaanzisha vita, Armenia...
Nimekuta hii post kwenye ukurasa fulani wa facebook kuhusu namna Nigeria wanatumia mabilioni ya Naira kugharamia shughuli za dini zinazohusisha kuombea maendeleo ya taifa kila mwaka nikapata...
Humans are Magical Creatures
In contrast to all other creatures which are all magical,Humans have the capability to take form which is lacking in all other Magical creatures.
There are four...
Nikiwa kama shuhuda wa uvuvi wa dagaa katika Ziwa Victoria, mwanzoni mwa 2000s, nimeona nishare nanyi juu ya intelligence itumikayo katika uendeshaji wa shughuli za uvuvi katika Ziwa hilo.
Ziwa...
Nimepata kujiuliza hawa matajiri ambao wanakuja kwa kasi au wameshika kwa sasa kama elon musk,jeff bezos na wengine.ila nitapenda kuwazungumzia hawa wawili.
Tuje kwenye nini maana ya uwekezaji ...
hili ni suala ambalo limekuwa likinitatiza sana. kwenye quran kuna nabii anaitwa Issa Bin Maryam. nmekuwa nikimsoma mara nyingi na kusoma hadith mbalimbali za quran. nachojiuliza ambacho naomba...
Kulikuwa na uongo unaenezwa chakula cha mh Rais lazima kipimwe tena lazima ale MTU mwingine kabla yake..
Magufuli amethibitisha sio kweli, kama mnakumbuka alikula kwenye mgahawa Mwanza, Jana kala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.