Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni
Je, Wajua Katika mikasa mbalimbali ya Biblia, Hadithi zinaonyesha kuwa Mungu amekadiriwa kuwaangamiza(kuwaua) watu 2,800,000 katika mikasa mbalimbali iliyomuudhi ikiwepo kipindi cha gharika...
12 Reactions
163 Replies
26K Views
Mada hii haipo kidini bali ipo ki-kisayansi na ki-intelectual zaidi. Kutoka Jitambue Sasa Blog. Unaweza ukawa uliwahi kuona watakatifu, walimu wenye hekima, walimu wa imani, watawa...
16 Reactions
30 Replies
12K Views
BINADAMU WOTE TAYARI TULISHA KUFA, KWASASA TUNAONESHWA KILA MTU JINSI ALIVYO ISHI. Unaweza kuta wote tupo mbinguni tayari, halafu haya maisha yanayo endelea ni kumbukumbu ya kila mtu kwa...
8 Reactions
52 Replies
7K Views
Ni jambo la kushangaza na kuchanganya kidogo Kama si sana lakini wagonjwa mahututi wengi (sio wote) hufariki usiku wa manane. Natambua fika jana jioni kuna watu wengi tu, wamewaacha wapendwa wao...
29 Reactions
271 Replies
64K Views
Kabla binadamu hajaumbwa Mungu alianza kuumba vitu na mazingira . Kwa upande wa ardhi kama udongo hivi materials aliotumia hadi ukawa udongo sasa alipata wapi na hayo material yaliletwa na nani sasa.
12 Reactions
188 Replies
15K Views
Ni sayansi gani hii? Ni uchawi!? Ni mazingaombwe ama ni jambo la kufikirika tu lisilo na ukweli wowote? Niliahidi kuleta mada hii, baada ya Dr. Shika kuchagiza kwenye simulizi yake ya kutoroka...
87 Reactions
326 Replies
41K Views
je alijua wengi watamlilia sana? je watamuuliza sana maswali mengi? je ameamua tu? au hayupo? Msaada wenu tafadhari mwenye idea na hili suala. Japo najua kuwa yeye mwenyewe ndiye alipaswa...
5 Reactions
73 Replies
13K Views
I had time to talk with Some TTCL members/staff in previous time and were not happy that TTCL is not leading. TTCL is the first company to have the biggest network web ever in Tanzania (I...
0 Reactions
195 Replies
30K Views
Nimewaza hapa na hizi quarantine. Corona inaweza kuwa imekuja kutufungua macho. Nchi kama Tanzania asilikia kama 5 ya watu wote wan UKIMWI. Mkoa kama Njombe 14% ya watu wan UKIMWI. Ukiona watu...
1 Reactions
10 Replies
921 Views
Mlinzi wa Moi alikuwa commando. Yule mtu aliyekuwa anaongoza ulinzi wa hayati Moi alikuwa ni Commando aliyepata mafunzo Israel. Anaeleza alivyopata mafunzo halafu akarudi Kenya kufanya kazi ya...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Jitambue ikiwa umezaliwa ukiwa na uwezo au nguvu za kichawi ndani yako ambazo unafree will nazo kutozitumia au kuzitumia kwa mazuri(chanya) au mabaya(hasi), kazi ni kwako; 1.Una imani thabiti juu...
15 Reactions
91 Replies
19K Views
Shikamooni wakubwa zangu wote. Jana wakati ninafungua account yangu ya Facebook nilikutana na post hii ya jamiiforums kwenye ukurasa wao wa Facebook kwamba police wamelaani vikali juu ya taarifa...
12 Reactions
63 Replies
18K Views
Leila Khaled & 1970 Dawson's Field Hijackings: Komando wa kike kutoka PFLP (Marxist–Leninist Arab Revolutionary Movement) aliyehusika kuteka ndege El Al Flight 219 Ndege za abiria zikilipuka...
11 Reactions
99 Replies
16K Views
Hi Socrates, Wengi wetu tumekuwa tukishindwa kusoma vitabu kwa kigezo cha kukosa muda kutokana na kuwa busy na utafutaji n.k, Je nkisema sio kweli nitakuwa nakosea..!? Twende pamoja, Najua wengi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
(It's true my self) Habari wakuu, Husikeni na mada tajwa hapo juu. Baada ya kuamka muda huu nimeona sio vibaya Ku share nanyi ndoto yangu. Najua humu Tuna wasomi na wataalamu wa mambo...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Kwanza salamuni wana jamvi. Huwa siachi kujiuliza tena kwa kusononeka nisikiapo maeneo kama Jerusalem na Makka na mengine yakiitwa matakatifu kana kwamba dunia iliyobaki ni chafu. Huwa sipati...
7 Reactions
66 Replies
10K Views
Wafu pekee ndio hawaoti na hawaoti kwakuwa hawana kumbukumbu tena na hawana kumbukumbu tena kwakuwa hawana uhai tena. Kila binadamu kamili lazima awe na vivuli vitatu kukosa kuwa na vivuli vyote...
32 Reactions
262 Replies
43K Views
Mmoja wa wanakamati ya kudeclassify files za iliyokuwa KGB anaelezea sababu za kuuawa kwa aliyekuwa mbabe wa USSR Joseph Stalin, na udhaifu wa KGB katika Counterintelligence mpaka kiongozi wa...
7 Reactions
228 Replies
37K Views
Habari za jioni wanajukwaa Niende moja kwa moja kwenye mada kama title inavyosema Kutokana na nilichotafiti binafsi kwa kuconnect dots ya vitabu mbalimbali nilivyosoma nimekutana na argument...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
nimeangalia viongozi wengi wakiwa na vimo vifupi huwa wanatumia magari ya chini Hillary Clinton aliamua kutembea na kigoda kama picha inavyoonekana pichani, kigoda hiki humsaidi kupanda kwenye...
7 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom