Kuachanisha roho na mwili ni hatari ya kupelekea kifo kuwa jirani

Khalifavinnie

JF-Expert Member
May 19, 2017
2,761
2,311
habari za hapo mlipo wapendwa wa jf,natumai kuna wazima wa afya na wadhoofu wa afya si mbaya sote tuko pa1 katika gurudumu hili la kufanikisha dunia isonge na iwe na mchakato kamili wa kimaisha ya viumbe hai na mimea hai,leo naitaji tufahamishane juu ya mustakabari wa uhai na maisha tuliyomo kiujumla.

kwa miaka mingi watu wanajitafakari kwanini na kwa kufikiri zaidi ni nini hasa kinafanya watu kukumbwa na kifo kwa haraka zaidi licha ya kuwa vifo hivyo ni vinahusika ama kutokea kwa upande upi wa ajali,magonjwa au mapigano,kifo ni kifo haijarishi kinakukuta mahala gani na katika tukio lipi ili hali tuu roho imeacha mwili, je kwanini roho huacha mwili?,je hukimbia au mwili ndio huikimbiza roho iko hivi roho ni kama ilivyo mafuta na maji au moto na maji vitu hivyo havita kaa vikashaabiana kaika utendaji wake kazi sababu kila kimojawapo kina utaratibu wake katika utendaji kazi,

kuna watu watahisi nakosea kwani watadai roho haina kitu pasipo mwili,si kweli maana mwili mbali na roho kuna muunganiko wa nafsi kabla ya roho ambayo ndio hukamilisha na kuu ya utatu na ukamilifu wa uumbaji yaani pembe tatu kuu ya uumbaji wake,sasa tusonge na roho ambayo ndio tunaizungumzia leo,roho ina mipaka yake kama tulovyosema sasa je ni mipaka ipi ambayo ndiyo huwa nayo?,na kama ina mipaka basi kumbe kuna kipindi unapovunja mipaka yake huwa inaamka na kukaa kando kabisa na mwili sasa hebu tuitizame mipaka hii ambayo ukiivunja husababisha ww mwenyewe kupelekea kifo,tukianza na swala la kwanza kabisa ambalo roho hukimbia mwili ni uumbaji wa kiumbe kati ya dume na jike yaani ngono,tendo la ngono lifanyikapo mara nyingi roho hukimbia mwili na kuacha upili kati ya nafsi na mwili kufanya uumbaji,kwanini roho hukumbia sababu sio mahala pake usika maana panapo fanyika ngono nafasi kuu ya hilo tendo ni uumbaji mbali na wengi wetu tunaodhania ni swala la starehe la hasha ni uumbaji hivyo basi unapofanyika uumbaji roho hulazimika kujiengua na kukaa pembeni kwani linapokamilika tendo hilo roho nyingine huzunguka na kuchukua nafasi mahala hapo kwa kimbwacho kwa siku hiyo,hivyo roho za wanao tenda ngono mahala hapo zinapokuwa kando huwa kuna hatari sana kwa muda huo kama ukiupeleka mwili mahala paripo na ukakasi wa hatari,hatari hiyo ikakupata na ukafa maana roho huchukua masaa ishirini ns nne kuurejea mwili na ndio maana tendo likikamilika mwili huwa tofauti yaani regerege wepesi kupita kiasi viungo kuregea n.k,nadhani tumetambua mpka mmoja wapo hebu tutizame mwingine


kutumia saana nguvu kazi kupita kiwango chako cha mwili kuchosha viungo na kutopata mapumziko ya kutosha hii huifanya roho kujiengua na kukaa pembeni kwani matendo ya kuuchemsha mwili ovyo ovyo pasipo mapumziko ya kutosha huwa ni kuvunja mpka wa roho na kuifanya kuona uchakavu wa jengo lake hivyo kuuifanya roho kukaa pembeni mpka mwili upumzikapo hii hutokea mara nyingi sana mtu anakuwa bize na kazi mpka kuhisi mwili hauleweki hapo tambua hauko na roho iko pembeni nawe sababu ya uchemshaji wa mwili kupita kiwango pia bila mapumziko, huo mpaka mwingine sasa tumalizie na huu,

roho pia hukimbia mwili upatapo faarifa isiyo taharifiwa,nirudie TAARIFA ISIYO TAHARIFIWA, hii huja vipi na kwanini iwe taarifa isiyo taharifiwa iko hivi kila unachokifanya wewe kimatendo kamilifu tambua kabla ya kufanya roho ilishapelekewa taarifa na nafsi yako ndipo ww huku kiuhalisia unafanya mfano unashika kijiko kabla hujashika kijiko nafsi inapeleka taarifa rohoni kwamba unashika kijiko hivyo roho inapata taarifa mapema kabl ya wewe kutenda jambo lolote lile, sasa tutizame taarifa isiyo taharifiwa inakujaje wakati roho lazima iwe imepata taarifa kabla ya wewe kutenda jambo huja hivi linapotokea swala la ghafla yani ile paa au taa au haa unaposhituka nafsi husita ikisita ina maana kuna muda imeshapoteza wakati huo uku wewe kimatendo umeshakifanya au kimeshakupata cha uhalisia,nafsi ule muda iliosita imepoteza na kuchelewa kupeleka taarifa rohoni roho inapata taarifa jambo limeshatendeka roho sasa inapokuwa imepata taarifa mbovu,kwanini tunaita taarifa mbovu sababu ni imeexpire yaani imekaa nje ya mpka
 
Basi kama kufanya ngono kunakuweka mbali na na Roho yako kwa muda wa masaa 24,
Basi mimi mr zero iq sijawahi kuwa na Roho kabisa tangu nilipobalehe na kujua ujana wangu, ka sababu kila siku lazima nichakate,

Yaani haiwezi pita siku sijachakata papuchi, tena siku zingine nachakata papuchi mpaka tatu,


Je naweza kuwa na Roho kweli mkuu kwa hoja yako hapo juu?
 
Basi kama kufanya ngono kunakuweka mbali na na Roho yako kwa muda wa masaa 24,
Basi mimi mr zero iq sijawahi kuwa na Roho kabisa tangu nilipobalehe na kujua ujana wangu, ka sababu kila siku lazima nichakate,

Yaani haiwezi pita siku sijachakata papuchi, tena siku zingine nachakata papuchi mpaka tatu,


Je naweza kuwa na Roho kweli mkuu kwa hoja yako hapo juu?
sasa ndugu yangu mbona umeenda mbali nazungumzia tendo la ngono na si kujichua
 
Kwahiyo roho inapiga chabo tu wakati tunakula tunda kimasiara?? Au inasepa kabisa eneo la tukio

Roho bwana!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom