wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
Wakuu. Turejee
Kwenye historia tunajua kuwa waafrika tulitawaliwa. Mababu zetu walichapwa viboko na kulimishwa( historia inasema hivyo sio mimi)
Hata dini tuliletewa na haohao waliotuchapa viboko.
Swali langu ni je, kwanini ukimbananisha kiongozi wa dini wa kiafrika kuweka uhusiano kati ya ukoloni/utumwa na tunachofundishwa kwenye dini mara nyingi huwa wanaanza personal attacks bila kuleta facts na kuwa wakali
For example kuna kitabu kama song of lawino. Nina quote " they preach what they dont do and do what they do not preach" end of the quote.
So why kila ukijaribu ku reason na pasta huwa wanakua wakali sana. Hawataki kabisa kusikia historia ya utumwa. Hasa mapasta wa kiafrika.
Kwani kuna nini. Kama ilikua ni legal waafrika kutawaliwa na ilikua ni mapenzi ya Mungu tujue. Cha msingi tunataka tujue tu ilikuwa ni halali kuwa kwenye utumwa? Ni swali yu wakuu