ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Kwanza usalama wetu utakua mdogo turudipo nyumbani kwani kwa saa hizo ni usiku mwingi na mtu huwezi tembea kwa miguu kikomita 1, 2 ukawa na imani ya kufika salama home ukizingatia makundi ya uhalifu mfano panya road wata take advantage kuwa sasa wateja wengi barabarani.
Ombi kwa Kamanda alifikirie hili Mara 3/3,kwani sio wote bodaboda ni wahaliifu wengi wao ni raia wema na wameshiriki sana ktk kuzuia/kukimbiza na kukamata wahalifu sehemu mbalimbali,mfano tukio lililotokea pale Mbagala rangi tatu bank ilipovamiwa na kuuawa askari, ni bodaboda aliyejitolea kumbeba askari wa JWTZ na kuwafuatilia wahalifu.
Pia ikumbukwe kua uhalifu mwingi tu wa Pikipiki hutokea hata mchana kweupe.
Kwa niaba ya wafanyakazi wote wa night shift ninaomba jeshi letu la polisi kulitazama upya tamko hilo kwani wengi wetu tunarudi nyumbani kuanzia saa6, 7, 8 za usiku.
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app