Jamani kuna ndugu yangu ni graduate anataka kwenda jeshini mwaka huu. Maana ndo ilikuwa ndoto yake. Kwa sasa Ana miaka thelathini mwezi wa kumi na mbili ndo atatimiza miaka 31.swali langu je usaili ukifanyika kabla haijafika mwezi wa kumi na mbili atakuwa amekidhi vigezo au watamchukulia ana miaka 31.ninaimani nimeeleweka.