Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 69,877
- 183,926
Habari wana,
Nna imani humu kuna vipanga wa kutosha katika kada ya academics. Hebu tutoane ushamba kidogo wazee kuna paper ya mwenzangu mmoja nimeona jambo ambalo nadhani si sahihi na nataka kumrekebisha ila nipate uhakika pia wa kile nachokiamini kwanza.
Hivi mtu anapoandika declaration statement kwenye paper, ni sahihi kuiita research kama "....in my degree dessertation?"
Majibu tafadhali.