Atclkwanza
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 823
- 998
ATCL najua biashara ni ushindani lakini destination ya songwe ime washinda tangu miezi mitatu muanze kwenda mbeya mnabeba abiria siyo zaidi ya ishirini,
Jitangazeni vizuri msisubiri mpaka ndege za fastjet zipate bird strike ndiyo mpate abiria kwa mfano jana tarehe 3 mmeenda na abiria 15 na kurudi na abiria 15 vilevile na washindani wenu 81 kwa77 hiyo route hamuoni hao jamaa wanawaumizeni!