mwanike wa ukaya
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 115
- 79
Hali imekua ngumu sana hususan kijiji cha Mtumbatu ambapo watu ambao hawajakopa mikopo wanahesabika. Bahati mbaya waliokopa wengi wao walidhamiria kutumia katika kilimo, bahati mbaya mvua haijanyesha hivyo mikopo hiyo iliyokopwa imetumika kununua sembe na kukaanga chapati.
Sijui tutalipaje haya madeni na jua limewaka kweli kweli. [HASHTAG]#tutafungwa[/HASHTAG]
Sijui tutalipaje haya madeni na jua limewaka kweli kweli. [HASHTAG]#tutafungwa[/HASHTAG]