Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu habari!!Najua humu hakiaribiki kitu...Najua nitapata mawazo na muongozo bila kejeli Wakuu nimetamani sana kwa muda mrefu kuitembelea nchi ya Botswana na hasa mji wa Gaborone Hii imekuwa...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
HUDUMA ZA CT SCAN, MRI NA MAMMOGRAPH KUPATIKANA BENJAMIN MkAPA HOSPITAl, DODOMA Dodoma. 28-02-2017 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto mhe Ummy Mwalimu amewathibitishia...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Unapotaka kufoji cheti au kutumia cheti cha MTU mwingine ni lazima ufikirie mambo yafuatayo: 1. Ni lazima uwe mtoto Wa pekee katika familia yako. Hata kama mlizaliwa kumi ni lazima ubaki peke...
11 Reactions
63 Replies
13K Views
Kama nchi tunaelekea wapi tunapokuwa na mijadala katika mitandao ya kijamii,huku tukishuhudia viongozi wa aina mbili tofauti wakivuana nguo? Je nan alaumiwe kati ya RC na mchungaji! Kama episode...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Kusema ukweli sina pesa ila kichwa kinawaka moto moyo ananiambia natakiwa nifanye kitu ambacho Kitaushangaza ulimwengu hasa Tanzania
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndg wana jf naandika haya kwa masikitiko kuna jamaa yangu ni mwalimu aliomba mkopo hatua zote zimekamilika ila Leo hii mkopo Wake umezuia ameambiwa alete uthibitisho kama vyeti vyake vimehakikiwa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the RECRUITMENT TEAM has received, reviewed and thoroughly discussed your credentials and has finally made a final decision of calling you for...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawaalika wakatoliki kuwa kesho itakuwa Jumatano ya majivu naomba kila moja amtaarifu mwenzake ili aweze kuhudhuria misa hiyo takatifu.
12 Reactions
36 Replies
7K Views
Siku tatu nyuma zilizopita nilikua kwenye bar moja hapa jirani yangu, ambapo nimeshazoea kupata moja baridi mida ya jioni, sasa nilipotaka kuondoka ikabidi nikope na viroba kama vya 4500 hivi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wana jf? katika kipindi cha taarifa ya habari ya ITV, kuna riporters mbalimbali wa mikoani ambao hukusanya taarifa sehemu hizo kama ilivyo ada. Miongoni mwa riporters hao wengi wao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu brothers and sisters Wakuu gharama za fine za Road licence maarufu kama motovehicle ikicheleweshwa kulipwa kama miezi miwili ipo vipi.. Gari lilipata ajali halijatumika kama 3...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Habarin Wakuu? Najua wengi wetu tunafuatilia matukio yanayoendelea hapa Nchini kama mfano hii drama ya madawa ya kulevya.CHADEMA jifunzeni kwa huyu mchungaji huwa ana mikakati mizuri sana ya...
0 Reactions
0 Replies
898 Views
Habari za muda huu wakuu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu. Mtazamo wangu katika kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia utengenezaji na uingiaji wa condom mana silaha kubwa ya kahaba ni...
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Habari wakuu; mwezi mmoja uliopita ni watanzania wachache waliojua kwamba katika sehemu moja ya nchi hii, huko wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza kuna kijiji kiitwacho Koromije. Lakini wiki ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakati inazalishwa ilikuwa halali kuuzwa na kunywewa. Wazalishaji wamepewa leseni, wamewekeza wameajiri na wamelipa kodi. Hatujasikia sheria yoyote iliyopelekwa bungeni kubatilisha sheria...
7 Reactions
33 Replies
4K Views
Halmashauri ya Jiji la Arusha: Rejesha stadium ni Mali halali ya Halmashauri ya jiji la Arusha - Sign the Petition! Halmashauri ya Jiji la Arusha: Rejesha stadium ni Mali halali ya Halmashauri ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji Tanzania - TBC JOE BALLONZI amefariki dunia katika Hospitali ya BUGANDO mkoani MWANZA alikokuwa akipatiwa matibabu. BALONZI ambaye alikuwa Afisa Tehama Daraja...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Katika nchi za Afrika ni nadra sana kuona kiongozi anajiudhuru hasa pale inapotokea tatizo katika eneo lake la kiuwajibikaji. Viongozi au watu waliopewa dhamana fulani hawana desturi ya kuwajibika...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom