Nchi 5 tajiri zaidi duniani

Nchi 5 tajiri zaidi duniani

bushland

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
7,015
Reaction score
4,997
Hizo ndizo nchi tano tajiri zaidi duniani .

1.Qatar
2.Luxembourg
3.Singapore
4.Kuwait
5.Brunei
Marekani Ni ya 13 hivyo basi ijapo Ni taifa kubwa imepitwa hata na nchi tajwa hapo juu.
GDP.png
 
tanzania ni yangapi maana tunaskiaga tu tajiri tajiri
 
Lkn cha ajabu US ana bugdet kubwa ya jeshi kulko hiyo top 5 combined .US anapenda ugomvi sana
 

Attachments

  • Screenshot_20170303-162636.png
    Screenshot_20170303-162636.png
    31.1 KB · Views: 265
  • Screenshot_20170303-164324.png
    Screenshot_20170303-164324.png
    21.2 KB · Views: 287
  • Screenshot_20170303-164310.png
    Screenshot_20170303-164310.png
    14.3 KB · Views: 276
Wameangalia wastani wa pato LA MTU mmoja mmoja.

Marekani jumla ya mapato ni kubwa kuliko nchi zote,tatizo RAIA ni wengi. Wastani mdogo.

Ni sawa uwe unapata 6M kwa mwezi halafu use na family ya watu 100.
 
Hizo ndizo nchi tano tajiri zaidi duniani .

1.Qatar
2.Luxembourg
3.Singapore
4.Kuwait
5.Brunei
Marekani Ni ya 13 hivyo basi ijapo Ni taifa kubwa imepitwa hata na nchi tajwa hapo juu.
View attachment 476432
Hivi huko Brunei ndiko Profesa Jay alipaimba kwenye wimbo wa Bongo Dar es Salaam??

Nanukuu kipande hiko cha mstari, "Wanatamani wangezaliwa BRUNEI wamwage radhi".

Kama ni huko natamani nifahamu zaidi.
 
Back
Top Bottom