Msaada: Namna ya kupata sponsors wa NGO

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Habari za leo waungwana,

Naomba msaada sana namna ya kupata wafadhili "sponsors " wa NGO yangu ambayo nimeianzisha inahusu mambo ya kijamii na kutoa misaada na elimu kwa watu waishio katika mazingira magumu.

Naomba msaada ni njia gani nitumie kuwapata?
 
Nakuomba uanze na mm,mm ni kijana ninaye ishi katika mazingira magumu,uki fanikiwa kunitoa katika huu ugumu,na Imani kuwa sponsors watakuja baada ya kuona mfano kupitia mm,please..
...
 
Unataka wa ndani au nje na una project gani unafanya kwa sasa inayokufanya utafute mdhamini ?
 
Mkuu nina project ya kwenda the Rest of Tanzania,vitongoji vya ndani zaidi ya nchi hii ambayo havijafikiwa na misaada na vyenye hali mbaya ya kijamii, mfano njaa, huduma za Afya n.k ..nimefika point nashindwa kwenda mm mwenyewe uwezo umeniishia wa kifedha
 
Nahitaji wa ndani hata na wa nje.. Nimewaza kuwa ninachohitaji zaidi ni chanel ni jinsi gani naweza kuwapata, though wa ndani wanakuwaga complicated sana
 
Mkuu nina project ya kwenda the Rest of Tanzania,vitongoji vya ndani zaidi ya nchi hii ambayo havijafikiwa na misaada na vyenye hali mbaya ya kijamii, mfano njaa, huduma za Afya n.k ..nimefika point nashindwa kwenda mm mwenyewe uwezo umeniishia wa kifedha
duh uko mwambie jpm je umesha andika project planning
 
Mkuu nina project ya kwenda the Rest of Tanzania,vitongoji vya ndani zaidi ya nchi hii ambayo havijafikiwa na misaada na vyenye hali mbaya ya kijamii, mfano njaa, huduma za Afya n.k ..nimefika point nashindwa kwenda mm mwenyewe uwezo umeniishia wa kifedha
Hii project yako iko kwa maandishi au iko kwa kichwa chako kama idea wafadhili wa ndani nitakudanganya tu siwajui lakini wa nje naweza kukupa blueprint
 
Mkuu ninayo hii project nimekwama hapo tuu naomba hiyo blue print
 
Nimekuuliza unayo kichwani au kwenye makaratasi? kingine hyo taasisi yako imesajiliwa na inacheti cha usajili na ni project gani ulishafanya zikafanikiwa na hii ni project ya ngapi?
 
Umeandika project ya sponsors au ya kuhudumia masksini? Kama unataka sponsor nenda wizara ya afya na maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto. Watakupa hela
 
Habari za leo waungwana,

Naomba msaada sana namna ya kupata wafadhili "sponsors " wa NGO yangu ambayo nimeianzisha inahusu mambo ya kijamii na kutoa misaada na elimu kwa watu waishio katika mazingira magumu.

Naomba msaada ni njia gani nitumie kuwapata?
PastorA, ngoja nikutumie hili kabrasha ujisomee labda unaweza kubahatisha. Jitahidi kutuma sehemu nyingi, bahati inaweza kukuangukia. Mimi nilishawahi kuchomoka na moja nikapiga kazi kwenye shule za sekondari wilayani kwangu. Ila sasa hivi jamaa nao wamepunguza sana kumwagamwaga hela sijui Ulaya nako kumebana? Ila hakikisha NGO yako imesajiliwa na msajili wa vyama (siyo Jaji Mutungi).
 
Attachments

  • fundingopportunities_africacompendium1.pdf
    815.9 KB · Views: 660
PastorA, ngoja nikutumie hili kabrasha ujisomee labda unaweza kubahatisha. Jitahidi kutuma sehemu nyingi, bahati inaweza kukuangukia. Mimi nilishawahi kuchomoka na moja nikapiga kazi kwenye shule za sekondari wilayani kwangu. Ila sasa hivi jamaa nao wamepunguza sana kumwagamwaga hela sijui Ulaya nako kumebana?
Asante sana japo nauhakika hii tutaisoma wengi sana humu sio mm tuu,, hivyo umewasaidia na wengine wenye maono kama hayo... Nao naeatakiwa heri..
 
Umeona mkuu eeeh,, ndo maana sikupenda kukupelekea kwenye PM kama wachovu wengine wanavyofanyaga wakiwa na kitu hot unasikia wanaitana kwenye PM utafikri wanataka kwenda kufanya U-BASHITE!! Ngoja wanufaike wengi!!
 
Back
Top Bottom