GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,382
- 108,436
Faru wetu Joni aliyepotea katika hali ya kutatanisha nimedokezwa kuwa Pembe zake zilikuwa Kilo kati ya 7 hadi 10 na cha kushangaza na kupandisha hasira jana Waziri Mkuu kaingizwa mkenge kwa kupelekewa Pembe za Faru zilizo na kilo kati ya 2 hadi 5.
Hivi ni lini nyie Watendaji wa Kitanzania mliopewa dhamana za Kiongozi mtaacha kuwa na figisu figisu na usanii katika mambo ya maana na muhimu kwa nchi yetu / taifa letu? Hivi njaa zenu zitawapelekeni wapi Wapuuzi wakubwa nyie?
Halafu muone mlivyo Wapumbavu na mlivyojiingiza mkenge wenyewe yaani mmesubiri hadi Waziri Mkuu awatisheni kuhusu Faru Johi ndiyo mkajitutumua kufanya kila muwezalo ili mumdanganye kama ambavyo mlimdanganya jana.
Bora sijawa Rais wa hii nchi ILA siku ikitokea nikawa Rais wa nchi hii iwe isiwe nitaliomba Bunge letu litunge Sera maalum ya kuuliwa hadharani kwa mlarushwa yoyote au fisadi yoyote au mtendaji anayeharibu sifa ya taasisi / nchi ili kuleta adabu na nidhamu.
Yaani tokea nione jana picha zikisambaa za Mheshimiwa Waziri Mkuu wetu akidanganywa kwa kuonyesha Pembe za Faru Johi feki nilipatwa na hasira sana na sijalala vizuri na nimeamka na jazba sana na wale Wahusika.
Ombeni tu nisiwe Rais nchi hii ila ikatokea tu nikawa makaburi yatajaa sana kwa kuwanyonga Wezi, Mafisadi na Watendaji wanaoingizia Taifa hasara. Mheshimiwa Waziri Mkuu wangu Mpendwa hapo hakuna kitu na unachofanyiwa na kudanganywa piga chini hao Watendaji wote, washtaki haraka, Kesi iende upesi kama kasi ya Ndege zetu za Bombardier na wahukumiwe ila muandikie Bosi wako Mkuu Mheshimiwa Rais wetu kuwa Waziri wa docket husika hafai na hatoshei hivyo amwondoe upesi na awekwe mwingine kwani Watanzania sasa tumechoka kudanganywa na kufanywa Wajinga kila uchao na Watendaji wachache.