Rais2020
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 3,248
- 5,537
Wakuu nimegundua kwamba kelele tunazopiga juu ya RC hazitazaa matunda yoyote yale kutokana na Boss (Rais) wake kutosikia kelele zote hizi.
Hebu tuangalie upande wa Pili ambao ni muhimili unaojitosheleza kabisa yaani BUNGE.
Pamoja na kwamba Bunge halina uwezo wa kutengua ukuu wake wa mkoa na kumchukulia hatua za kisheria. Hebu naomba tujuzane hapa je, bunge kupitia kumwajibisha waziri mkuu inaweza kuwa sulujisho kwa kuchukuliwa hatua mkuu wa mkoa wa Dar?.
Kama sivyo je,bunge lina nafasi gani juu ya swala hili?
Natumaini nitapata majawabu murua kabisa kutoka kwa wabobezi wa mambo ya sheria.
Karibuni tujadili pamoja