Hijira Haruna
New Member
- Feb 23, 2017
- 2
- 1
Mgambo mmoja ameded baada ya wenzake kuondoka baada ya kuzidiwa ndo nyomi nzima ikamvaa mtu mgambo 1 aliebaki
Ngoja tusubr taarifaHuko mwanza ni kwa wanyonge badae utasikia kauli kali kutoka kwa mtukufu malaika mkuu
Amen RaMgambo ametimiza kiapo chake mungu tuepushie mbali hizi vurugu
Hakuna aliyepigwa bali alikuwa anapita na wenzake walikuwa wametangulia yeye akiwa nyuma kisha boda boda mmoja akapiga kelele za mwizi, yule mambo akakimbilia kanisani akakuta geti la kanisani limefungwa akaanza kupigwa palepale.Mgambo nao wanakuwaga wanatanguliza mbele mno vifua vyao ukute wamefika wakaanza kuwapiga wa machinga na marungu maana ndo zao wale hawawezi kukutoa kistarabu wale.
Hebu fikiria ukute mtu hajauza hata suruali moja na bado anakiu na maji,hajala ufike umpige rungu utosini atakuacha kweli?
Mbaya zaidi ukute mtu anamadeni nyumbani ya michezo na pango la nyumba nyie mgambo msipoangalia mtakwisha nchi yenyewe imekuwa chachu hii..
By the way rest in peace commander umekufa kishujaa!