Bodi ya Mkopo imenikata wakati haikunisomesha, tafadhali nisaidieni nimechanganyikiwa!

jitu la kale

Member
Dec 29, 2010
77
18
Wadau habari za mchana,

Mimi naishi Mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofisini kwao PPF PLAZA ofisi za Kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela na kujua pia nitarudishiwaje pamoja na namma ya kusitisha makato haya.

Maelezo walionipa eti niandike barua na niweke kiambatanisho kwa maana ya salary slip then nisubili siku 12 nitarudishiwa fedha yangu na kusitisha makato hayo. Basi wakati nipo ndani naandika hiyo barua ghafla walikuja watumishi wanne nao wakilalamika kwamba makato bado yanaendelea ndo ikabidi kuuliza kulikoni jamani, ndo wakanisimulia na kunionesha barua zao za tangu mwezi NOV 2016 juu ya kulalamikia makato hayo na kibaya zaidi mwezi huu yameongezeka kutoka 8% hadi15% wakati bodi haikuwai wasomesha na hatua za kusitisha makato nazo ofisi haizishughuliki.

Nahisi kukata tamaa wadau nisaidieni hatua za kusitisha haya makato ya bado kwa sisi ambao hatukusomeshwa na bodi na maelezo ya ofisini ni uongo mtupu.
 
wadau habari za mchana,mimi naishi mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofsini kwao PPF PLAZA ofisi za kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela,na kujua pia nitarudishiwaje pamoja na namma ya kusitisha makato haya.Maelezo walionipa eti niandike barua na niweke kiambatanisho kwa maana ya salary slip then nisubili siku 12 nitarudishiwa fedha yangu na kusitisha makato hayo.Basi wakati nipo ndani naandika hiyo barua gafla walikuja watumishi wanne nao wakilalamika kwamba makato bado yanaendelea ndo ikabidi kuuliza kulikoni jamani,ndo wakanisimulia na kunionesha barua zao za tangu mwezi NOV 2016 juu ya kulalamikia makato hayo na kibaya zaidi mwezi huu yameongezeka kutoka 8% hadi15% wakati bodi haikuwai wasomesha na hatua za kusitisha makato nazo ofisi haizishughuliki.Nahisi kukata tamaa wadau nisaidieni hatua za kusitisha haya makato ya bado kwa sisi ambao hatukusomeshwa na bodi,na maelezo ya ofsini ni uongo mtupu.
Mkuu mimi ni mmoja wa victim wa hawa bodi
Nimefanya process zote walizotaka ili kurejesha ela walioikata lkn hadi leo bado sijarudishiwa
 
wadau habari za mchana,mimi naishi mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofsini kwao PPF PLAZA ofisi za kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela,na kujua pia nitarudishiwaje pamoja na namma ya kusitisha makato haya.Maelezo walionipa eti niandike barua na niweke kiambatanisho kwa maana ya salary slip then nisubili siku 12 nitarudishiwa fedha yangu na kusitisha makato hayo.Basi wakati nipo ndani naandika hiyo barua gafla walikuja watumishi wanne nao wakilalamika kwamba makato bado yanaendelea ndo ikabidi kuuliza kulikoni jamani,ndo wakanisimulia na kunionesha barua zao za tangu mwezi NOV 2016 juu ya kulalamikia makato hayo na kibaya zaidi mwezi huu yameongezeka kutoka 8% hadi15% wakati bodi haikuwai wasomesha na hatua za kusitisha makato nazo ofisi haizishughuliki.Nahisi kukata tamaa wadau nisaidieni hatua za kusitisha haya makato ya bado kwa sisi ambao hatukusomeshwa na bodi,na maelezo ya ofsini ni uongo mtupu.
ushakosea wewe... tulia tafuta msaada wa sheria alafu lipwa kwa riba na fidia juu.. kitendo hicho kimekuletea msongo wa mawazo na pia kimethoofu maendeleo yako.. tafuteni kuzijua haki zenu na kuzisimamia kama hutafanya hivyo wao wanafanya hivyo.
 
Nafikiri ingependeza kama ungefika mwenyewe bodi ya mkopo ukiwa na nyaraka zako zote zinazoonyesha ya kuwa hukulipiwa na bodi ya mkopo, hiyo itakusaidia sana
 
asante wadau.....tatizo nipo mwanza na hapa kuna ofsi zao lkn naona ni chenga tupu...mimi imetokea mwezi huu lkn nimeenda nimekuta wa mwezi nov 2016 bado hata makato hayasitishwa wanalia kabisa pale ofsini maana mwezi huu wamewaongezea makato
 
Soma angalau stashahada ya sheria maana naona ubush lawyer huuwezi.
 
Jaribu pia kuwasiliana na vyombo vya habari wape hiyo taarifa naamini jambo hilo likitangazwa kwenye redio au kagazetini litasaidia kuiamsha serikali, hizo kesi kwa sasa hadi zinakera
 
Wadau habari za mchana,

Mimi naishi Mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofisini kwao PPF PLAZA ofisi za Kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela na kujua pia nitarudishiwaje pamoja na namma ya kusitisha makato haya.

Maelezo walionipa eti niandike barua na niweke kiambatanisho kwa maana ya salary slip then nisubili siku 12 nitarudishiwa fedha yangu na kusitisha makato hayo. Basi wakati nipo ndani naandika hiyo barua ghafla walikuja watumishi wanne nao wakilalamika kwamba makato bado yanaendelea ndo ikabidi kuuliza kulikoni jamani, ndo wakanisimulia na kunionesha barua zao za tangu mwezi NOV 2016 juu ya kulalamikia makato hayo na kibaya zaidi mwezi huu yameongezeka kutoka 8% hadi15% wakati bodi haikuwai wasomesha na hatua za kusitisha makato nazo ofisi haizishughuliki.

Nahisi kukata tamaa wadau nisaidieni hatua za kusitisha haya makato ya bado kwa sisi ambao hatukusomeshwa na bodi na maelezo ya ofisini ni uongo mtupu.
Bodi ya mikopo haikati mishahara ya watu, wanaokata ni waajiri
 
Mnakimbilia bodi badala ya kwenda mahakamani ninyi vipi, hapo na ulaji juu mnapata kweli Africa sheria zipo mbali, unganeni fungueni kesi ya kusimamisha bodi kuwakata pili ndipo mdai fidia ya usumbifu.

Mimi kunataratibu nakamilisha hawa bodi nataka niweke heading hv karibuni subirini
 
Mimi nilianza kukatwa kimakosa na bodi mwezi wa 7 na 8 mwaka jana 2016..niliwasiliana nao wakanipa barua ya kusimamisha makato..ambayo nilipeleka kwa afisa utumishi wangu, na waliniambia niandike barua ya kuclaim pesa zangu ..zimekuja kurudishwa mwaka jana mwezi wa 12..yaani baada ya miezi 4.
 
Wadau habari za mchana,

Mimi naishi Mwanza jiji ni mtumishi ambaye bodi ya mkopo ya elimu ya juu haikuwai nilipia hata dhumuni lakini mshahara wagu wa mwezi huu wamenikata 107,000/-.Nimeenda ofisini kwao PPF PLAZA ofisi za Kanda ya ziwa nimejilijisha ni wao wamenikata hiyo hela na kujua pia nitarudishiwaje pamoja na namma ya kusitisha makato haya.

Maelezo walionipa eti niandike barua na niweke kiambatanisho kwa maana ya salary slip then nisubili siku 12 nitarudishiwa fedha yangu na kusitisha makato hayo. Basi wakati nipo ndani naandika hiyo barua ghafla walikuja watumishi wanne nao wakilalamika kwamba makato bado yanaendelea ndo ikabidi kuuliza kulikoni jamani, ndo wakanisimulia na kunionesha barua zao za tangu mwezi NOV 2016 juu ya kulalamikia makato hayo na kibaya zaidi mwezi huu yameongezeka kutoka 8% hadi15% wakati bodi haikuwai wasomesha na hatua za kusitisha makato nazo ofisi haizishughuliki.

Nahisi kukata tamaa wadau nisaidieni hatua za kusitisha haya makato ya bado kwa sisi ambao hatukusomeshwa na bodi na maelezo ya ofisini ni uongo mtupu.

Waambie wakuandikie kwa maandishi hayo maelezo, peleka kwa mwajiri wako a stop kukukata hayo makato.
 
Pole mkuu,

Hawa jamaa hawakua na database ndo maana waliweka hadi watu ambao hawakuwai kufika hata chuo......walikua wanabahatisha tu
 
Back
Top Bottom