Leo tarehe 05/03/2017 BAWACHA Mkoa wa Dar es Salaam walitembelea Hospitali ya Ocean Road na kutoa misaada mbalimbali kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini. Hii ni katika kuadhimisha Wiki ya Wanawake Duniani ambapo BAWACHA Mkoa wa Dar es Salaam wamekuwa wakitembelea wagonjwa,watoto yatima, wajane na waathirika wa Madawa ya kulevya Na kutoa misaada mbalimbali ndani ya Wiki hilo kila mwaka. Mathalani; Mwaka jana walikuwa katika Hospitali ya Mwananyamala na walitembelea vituo kadhaa vya watoto yatima.
Hongera BAWACHA DSM!
#Mfundisheni_Daudi_maana_ya_Utu