Usikose jumapili ibada live

HaMachiach

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
3,413
6,134
*TAARIFA*

Karibu kwenye Ibada ya Jumapili 05/03/2017 katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Askofu Dr Josephat Gwajima atakuwepo akifundisha na kuwaombea wenye shida na matatizo mbalimbali. Kama ilivyo kawaida miujiza na mambo mengine makubwa yatafanyika.

Kanisa liko ubungo karibia na jengo la TANESCO. Ibada itaanza asubuhi saa mbili kamili na Pia itarushwa live kwenye vituo vifuatavyo:

Rudisha Radio: www.mixlr.com/rudisha-radio

Na YouTube Channel: www.youtube.com/user/ufufuonauzima

Mtaarifu na mwenzako.
 
Itakuwa wamekaa mezani na kujadiliana aachane na hoja ya wageni. Ninawasiwasi kama kesho atazungumzia hiyo ishu. Ngoja tusubiri
 
Ameeeeeni naandaa bandol la kutosha nipate ufufuo na uzima moyoni
 
*TAARIFA*

Karibu kwenye Ibada ya Jumapili 05/03/2017 katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Askofu Dr Josephat Gwajima atakuwepo akifundisha na kuwaombea wenye shida na matatizo mbalimbali. Kama ilivyo kawaida miujiza na mambo mengine makubwa yatafanyika.

Kanisa liko ubungo karibia na jengo la TANESCO. Ibada itaanza asubuhi saa mbili kamili na Pia itarushwa live kwenye vituo vifuatavyo:

Rudisha Radio: www.mixlr.com/rudisha-radio

Na YouTube Channel: www.youtube.com/user/ufufuonauzima

Mtaarifu na mwenzako.
Vipi ule ugeni uliosemekana utakuja kutoka koromije utakuwepo?
 
*TAARIFA*

Karibu kwenye Ibada ya Jumapili 05/03/2017 katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Askofu Dr Josephat Gwajima atakuwepo akifundisha na kuwaombea wenye shida na matatizo mbalimbali. Kama ilivyo kawaida miujiza na mambo mengine makubwa yatafanyika.

Kanisa liko ubungo karibia na jengo la TANESCO. Ibada itaanza asubuhi saa mbili kamili na Pia itarushwa live kwenye vituo vifuatavyo:

Rudisha Radio: www.mixlr.com/rudisha-radio

Na YouTube Channel: www.youtube.com/user/ufufuonauzima

Mtaarifu na mwenzako.
Ataonyesha vyeti vya Bashite?
 
Sijui mimi kwa vile sijui mambo ya Dini sababu siamini katika dini. Hivi madhumuni ya waumini kwenda kanisani na misikiti si kusikiliza neno LA Mungu au ni mikutano ya hadhara?
 
Back
Top Bottom