Ujenzi ujenzi ujenzi!

linkedIn

Senior Member
Dec 20, 2014
151
55
Habari za humu Wakuu!

Naomba kujuzwa ni brand ipi ya bati au kampuni ipi ya bati inayozalisha bati nzuri kwa kuezekea ambazo hazipauki. Nauliza hivo kwa sababu kumekuwa na viwanda vingi sana siku hizi ambavyo bati zake zimekuwa zikipauka kwa muda mfupi sana!

Naombeni mwenye kujua anifahamishe nisije nikaingizwa mjini!

Nawasilisha wakuu!
 
Back
Top Bottom