Gharama za kuingiza umeme zipoje wadau?

sirbuff

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
487
263
Wakuu habarini nipo katika nyumba ya kupanga lakini umeme ni shida kwa sababu ni nyumba za familia zipo kama 4 hivi, zina tumia luku moja bas dah .
 
kama upo ndani ya manispaa laki 321,kama nnje ya manispaa laki 199 bila nguzo,kama upo kijijini mfano koromije kuna miradi ya Rea ni elfu 28 tu.Tanesco tunaangaza maisha yako
8fc951f4a0e83eee3a1ae006e0a233b8.jpg
 
Back
Top Bottom